Search results

  1. Theb

    Tuungane kuiomba Serikali ifanye siku ya tarehe 02 Oktoba kila mwaka iwe Diamond Platnumz day

    Muda unaanza kumuacha sema alisha jiweka sawa kiuchumi so anakuwa mfanya biashara na kama vipaji vingi anaweza geukia upande mwingine hata uigizaji
  2. Theb

    Picha: Ally Salum Hapi mkulima bora wa mwaka 2022

    Aandikeje mkuu ..?
  3. Theb

    Waislam tujenge hospitali zetu tuache kulialia KCMC ni mali ya kanisa

    Acha wakurarue japo umeongea kwa nia njema.
  4. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Kaiulize serikali yako na CAG watakupa. Majibu
  5. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Wewe ni much known mno. Tuishie hapo. Maana ujiaji mwingi.
  6. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Kabsa mkuu. Wapo waislam pale kcmc na hata siku moja nilihudumiwa na dokta wa kike muislam sema tu kuna watu bwana
  7. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Jifunze hata kuandika kwanza sio nilifikili andika nilifikiri na maisha ubinafsi ndio muongozo wake. Mfano mdgo tu huwezi kuishi nyumba aliyojenga mwenzako kwa jasho lake tafuta chako. Huwezi vuna usipo panda kama hii mifano hujaielewa wewe ni mtu wa ajabu kuwahi kutokea kwenye hii sayari
  8. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Kcmc ya kkkt unatakaje ww kirefu cha kcmc ni nini Ww mgumu kuelewa. Kitu kilichojengwa na sadaka za wakristo hawezi pewa kipaumbele muislam hivyo
  9. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Ndani ya kanisa haajiriwi shekh na ndan ya msikiti haajiriwi mchungaji
  10. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Pa Pale MUM mbona hakuna wachungaji..?
  11. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Sijui watakuambia elimu dunia ni haram
  12. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Mjenge madrasa afu mtake kuajiriwa na kanisa 😁😁😁😁. Pole
  13. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Basi kila dini ivune inapopanda. Watumishi wa kcmc wengi wamesomea kanisani sasa unatakaje wewe..? Kanisa lina dayosisi ambazo zina taasisi zake unashangaa nini. Kila dayosisi utakuta watu wa eneo husika ndio waajiriwa kwa wingi.
  14. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Sasa wewe unataka kupangia kanisa kuwa limuajiri shehe..??😁😁😁😁
  15. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Kitu cha wakristo ww kinakuuma nn..? Mbona pale MUM hata kusoma tu mkiristo ni shida hamturuhusu.
  16. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Huyo ni sultan said sayd hatakuelewa
  17. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Uliijenga wewe kcmc unadhani inafutwa tu eeh. Tumia akili ndugu. Akili zenu ni kutaka kuvuna msipo panda. Ile nitaasisi ya dini mwanzilishi ni kkkt kajengeni nyingine muiite utakavyo na uwaajiri wa kwako. Msimamizi askofu atamuajiri vipi bwana saidi said
  18. Theb

    Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Mtu kama huyo una mpuuzia tu maana hajui wachaga anao wachukia ndio watz matajiri refers mzee mengi sasa anataka wazee wa slave trade (sultan said seyyed)
Back
Top Bottom