Search results

  1. blacksamurai

    Tractor linauzwa, aina ni John Deere

    Trekta lipo Morogoro mjini(nanenane), lipo katika hali nzuri sana. Unaruhusiwa kuja kulikagua. Ni 4wd na ni 75hp. Unauziwa pamoja na jembe lake. Bei ni 36m. Mazungumzo yanaruhusiwa. Namba za mawasiliano ni 620 559595
  2. blacksamurai

    Namtafuta mfugaji wa bata wa aina yoyote ndani ya Manispaa ya Morogoro

    Habari, ningependa kufahamu kama kuna mfugaji wa bata wa aina mbalimbali ndani ya manispaa ya Morogoro. Kama yupo, tuwasiliane niende nikamtembelee anapofugia na nitanunua bata kwake. Nimeanza ufugaji wa bata, kwa hiyo nahitaji bata wa kuanzia (si bure nitanunua tukikubaliana bei) kutoka sehemu...
Back
Top Bottom