Kama watanzania tulio wengi tunaona haliwajibiki na ni dhaifu (si mara ya kwanza madai hayo kutolewa) ni sawa hata akiliwajibisha kwa lengo la kuokjoa fedha za wananchi walip kodi
Alitoa mawazo yake mahalai stahili kabisa kabisa mkutano wa dunia wa asasi zinazofanya ukafguzi wa hesabu za serikali. Kuhojiwa si tatizo na hakuna anayepinga. Kwani atapata fursa ya kulifafanulia bunge udhaifu wao kama Mhimili uanopaswa kuisimamia serikali
Kwani nani kasema ana mamlka ya kuliwajibisha Bunge. Alikuwa akijibu swali kuhusu udhaifu wa kutochukuliwa hatua zozote baada ya ofisi yake kutoa ripoti zenye kuonyesha upotevu wa fedha za umma
CAG alikuwa anhudhuria mkutano wa asisi za ukaguzi wa mahesabu ya serikali wa dunia. Na lichokiongea na waandishi wa habari ni kuhusu ripoti zinazotolewa na ofisi yake. Ulitaka asem uongo? Au unafikiri media za wenzetu nje nia kama za hapa nyumbani zinzoandaliwa maswali ya kuuliza>
CAFG alikuwa akihudhuria mkutano wa dunia wa asasi za ukaguzi wa mahesabu ya serikali na ndipo alihojiwa na waandisjhi wa habari kuhusu taarifa za ukaguzi zilizotolewa na ofisi yake. Tusifikiri kuwa media za wenzetu ni kama hizi za hapa nyumbani zinazokubali kuwekwa kwapani. Asingeweza kusema uongo
Kwakuwa CAG alikuwa katika mkutano unaohusu mambo ya ukaguzi wa mahesabu ya serikali wa dunia hangewezaje kusema uongo kwa waandishi wa habari waliohoji taarifa zilizotolewa na ofisi yake? Tunafikiri media za wenzetu ni kama hizi za hapa nyumbani zinazokubali kuingiliwa? Nimesoma hapo juu sion...
Tokea kuingia madarakani Novembe 2015, Serikali ya awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli imejikita katika utatuzi wa changamoto mbali mbali zilizokuwa zikiikabili tasnia ya uzalishaji na usambazaji wa nishati ya umeme. Ndani ya kipindi kifupi cha miaka 3 tu changamoto za taifa...
Macho umeyasema yote walichomba TCAA ni business plan, cashflow, balance sheet etc for the 12 months wajiridhishe juu ya uwezo wa Fastjet kumudu gharama za kurusha passenger flights ikiwemo matengenezo, vipuri na consumables. Pia hata benki wangeomba nyaraka hizo hizo ili wajiridhishe kuhusu...
Hizi deal zilikuwa ni za awamu zilizopita. Mtumishi wa umma angepigwa M 500 na Fastjet ingeondoka kimya kimya na hela za watoa huduma Bil 6. Not in this era. Hapa ndipo ninapompa Magu sakute jurejesha naadili ya utendaji wa umna
Shirika kama limeshindwa kummaintain "Accountable Manager" na baada ya aliyepo kuresign limeshindwa kurecruit mwingine litawezaje kuendelea kurusha ndege? Unajua dababu za yeye kuresign? Kwanini wameshindwa kurecruit nwingine hadi mwekezaji mwenye taaluma ya sheria ajiteue kuwa aviiation expert...
Mimi mwenyewe nimejitolea kuitetea TCAA kwa sababu ya kadhia nilixowahi kupatia toka Fastjet. Ndio maana naunga mkono kauli ya Waziri Kamwele kuwa Fastjet imetusumbua kwelikweki
Nia ya kulipa madeni haipo ndio maana issue hii inageuzwa kuwa ya kisiasa. TCAA imetamka wazi wazi kuwa wakitekeleza matakwa ya kisheria kupitia nyaraka za fedha walwalizotakiwa kupeleka biashara itaendelea. Ndege iliyozuiliwa na TCAA kutokana na haya madeni sio inayofanya safari tena hapa...
Hivi unataka kusema hii sheria imetungwa maalum kwa Masha? Kama kubebwa kabebwa sana kwakuwa ni mzawa. Moja ya ndege anayoiombea kibali tar 24/12/2018 iliingia na kuanza kazi mapema zaidi bila kupata kibali cha mamlaka husika, hii ilifuatia Fastjet kushindwa kuwalipa wamiliki wa ndege walizokodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.