Search results

  1. Imano8

    Nataka kujua bei za bati ya alaf kwa kiwandan

    nataka kujua bei ya mabati ya alafu
  2. Imano8

    Ndugu zangu nahitaji dawa ya mapunye

    Jaman Nina hitaji dawa za mapunye yana ni sumbua sana maeneo ya kichwani nipewa dawa hospital nitumia yana potea kwa muda kisha yana rudi tena
  3. Imano8

    Ukitaka kuwa katika familia lazima ujifunze kuwa baba kweli kweli

    Maisha yanaenda kwa kasi sana, muda nao una tuacha, wengine tuna tamani kuwa kama tulivyo Leo milele , turudi kwenye point, iko hivi ili kuweza kuwa baba bora was familia lazima ujifunze kuwa na UPENDO juu ya yote, kwanini nasema hivyo , upendo hauna chuki, upendo una uvumilivu ndani yake hau...
Back
Top Bottom