Search results

  1. desree

    Nauza gari hilux double cabin 14M.

    Gari ni used ila bado lipo kwenye ubora wake,wataalam wa magari nadhani mnajua hili gari lilivyo kikazi zaidi.Linabeba mizigo na kupita barabara aina zote bila shida. Contact:+255 767 386 086. Karibuni wakuu. Location:Dar es salaam,Tegeta_wazo hill.
  2. desree

    Nauza gari used la toyota hilux double cabin bei 14M.

    Habari wadau,nauza gari used la toyota hilux double cabin kama mnavojua kwa wataalam wa magari jinsi haya magari yanavyopiga kazi na uwezo wake mkubwa wakutumika kikazi zaidi. Contact #+255 767 386 086 karibuni.
  3. desree

    Msaada wa hospitali nzuri kwenye magonjwa ya wanawake.

    Wapendwa naomba mapendekezo yenu kuhusu hospitali yenye huduma nzuri kwenye afya ya uzazi kwa wanawake na gharama nafuu.
Back
Top Bottom