Kazi ya wakili ni kuisaidia mahakama iweze kufikia maamuzi yanayo toa haki na kamwe si kutetea mteja kama watu wengi wanavodhani kwa wale waliosoma shule ya sheria wanajua hilo kwa hiyo hata yeye malando anaweza kuisaidia mahakama ikawatia hatiani kama anao ushahidi wa kutosha au akawasaidia...
Itifaki imezingatiwa!!!!!!!!!!!!!!
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa sura ya 29 ya mwaka 1971 kama ilivofanyiwa marekebisho mwaka 2002 kifungu cha 9(1) kimeeleza kuwa "marriage means the voluntary union of a man and woman, intended to last for their joint lives" kwa mujibu wa ibara hii wanandoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.