Search results

  1. maubusu

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Bro mkomeshe,usiingie kwenye page yake au fungua yako utume Kila siku tusome
  2. maubusu

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kwa hiyo mwisho ni 98?
  3. maubusu

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Wacha nifungue code tu kwa msio kwenye group,kumbe Edna ndio athena!lini tena mkuu umeishia patamu saaaana
  4. maubusu

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Hii 783 imenichanganya sana,lini tena muendelezo kwenye group?
  5. maubusu

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Hiyo ndio imetuchanganya zaidi 783
  6. maubusu

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Anakera sana huyu jamaa,nakuteteaga lakini unakera,jibu sms za inbox
  7. maubusu

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kweli kabisa,vipande zaidi ya 600 mtu kasoma bure halafu unatukana sio ustaarabu hata kidogo,ukiona anakuudhi Susa kusoma
  8. maubusu

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    Namimi nilimpigia,alipata ajali akavunjika mkono,mpaka sasa bado mkono wa kulia unasumbua hata vidole havifanyi kazi vizuri,naamini Kuna madaktari humu watamshauri,lakini pia tumuwezeshe ndugu zangu katika kipindi hiki kigumu kwake!
  9. maubusu

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    Bishop vp hali yako,kimya sana jamaa yetu
  10. maubusu

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Singano kile kizungu kule kwenye group hebu tutafsilie jamaa yangu,tuma na yakiswahili
  11. maubusu

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Singano pole na majukumu,nakubali sana kazi zako,hii simulizi Kuna kipindi ilikuwa nikiikosa nakosa amani kabisa,nafikiri Mimi ni mmojawapo wa mwanzo kununua,lakini kwangu naona inaanza kukosa ule mvuto wa mwanzo,hata nikiikosa mwezi naona kawaida tu,nafikiri steringi roma anapoteza mvuto,ngono...
  12. maubusu

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Toka 620 ulipoishia umeanza 629 leo
  13. maubusu

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Unaruka sana kwenye group,,umeruka vipande 9
  14. maubusu

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mara ya mwisho uliishia 608,leo umeanza 613
  15. maubusu

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kwenye group umeruka toka 608 uliyoposti mara ya mwisho hadi Leo umeanza na 613 mzee baba
  16. maubusu

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    Pole zake sana,nakuombea upone haraka ndugu yangu!
  17. maubusu

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    Bishop yupo jamani?
  18. maubusu

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    Au Jason hajarudi mafunzoni?
  19. maubusu

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    Ndugu zangu bishop anaendeleaje?kaamua kutususa au bado anaumwa?
  20. maubusu

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Singano umetusahau kwenye group ndugu yetu!
Back
Top Bottom