Search results

  1. UKWELIWANGU

    UDOM.....updates info..!

    inonekana mkuu haufatilii sana mambo. written interview ya watu waliomba nafasi za utawala imeshafanyika tokea tarehe 17/11/2012. na shortlist iliwekwa kwenye website ya chuo. Pia interview ya waliomba nafasi za ASSISTANT LECTURE / TUTORIAL imefanyika tarehe 26/11/2012 na majina mpaka leo...
  2. UKWELIWANGU

    kariakoo market co-orperation

    Hao bwana wbabaishaji. maana hilo sio tangazo la kwanza kwa upande wangu kuliona na mimin kutuma maombi lakini sikuwahi kuitwa kwenye intavyuu hatan siku moja
  3. UKWELIWANGU

    Mifuko ya Jamii PSPF,PPF,GEPF na LAPF IPI NZURI

    acha kutuumiza roho maana tunaishia kufanya intavyuu KWENE HIYO MIFUKO maendeleo yake hatujui LAKINI kumbe watu teyari wameshapangwa
  4. UKWELIWANGU

    Taarifa: Utumishi wameita watu ktk usaili zile nafasi 2285 za trh 25/05/2012

    sio hizo tu hata ya afisa ushirika , afisa biashara. Hii ndo Tanzania bwana. nakumbuka nilishawahi kuwasilisha mada kuwa kuna baadhi ya nafasi tume ina tangaza lakini ina ajjili watu bila kuitwa kwenye intavyuu kwa kutumia database ya waliofanya intavyuu ya NAO. swali la kujiuuliza hiyo DATABASE...
  5. UKWELIWANGU

    Jamani ee..hebu tujuzane kuhusu usaili wa tume ya ajira

    Mkuu majina mengine hakuna na hizo post zilitoka kitambo /mapema tu. ila so wewe tu ambaye hujaona jina lako mimi pia sijaona jina langu na nakumbuka kabisa niliomba ASSISTANT ACCOUNTANT II katika chuo kilichopo hombolo na NILITAZAMA HAYO MAJINA ZAIDI YA MARA TATU. USHAURI WANGU Kama jina lako...
  6. UKWELIWANGU

    Tume ya ajira jamani munatusumbua

    WAUNGWANA HABARI ZA ASUBUHI nina andika habari hii huku nikiwa na machungu kabisa kwani na mimi ni muhanga wa haya matatizo ya tume ya ajira. nakumbuka mwaka jana tulipofanya intavyuu ya NAO ( National Audit Office) ambayo ilisimamiwa na tume yetu ya ajira tuli ambiiwa kuwa tumeitwa watu wengi...
  7. UKWELIWANGU

    Kuitwa kazini

    achana na hawo jamaa matapeli hawafai
  8. UKWELIWANGU

    Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

    acha unafiki na uongo mi nimetume cv yangu yapata mwezi unaisha bila hata kubipiwa mi nikapiga. usafanye watu madaraja kfanikisha lengo lako.
  9. UKWELIWANGU

    Job opportunity

    thanks
  10. UKWELIWANGU

    Sekretarieti ya Ajira na Database

    huu ni ukweli mtupu. hata mimi nakumbuka hicho kitu kilisemwa na mkubwa kutoka pale tume ya ajira. tena tuliambia na wasimamizi kuwa tunamsubiri huyo mkubwa wao anataka kuongea na sisi KWA BAHATI MBAYA turimsubiri kwa muda mrefu na hatukufanya mtihani paka yeye alivyokuja kuongea hayo maneno...
  11. UKWELIWANGU

    EROLINK Acheni uzushi!

    Mimi nilishapeleka hapo CV zaidi ya Mara mbili lakini hola ni kawatumia tena CV yangu kupitia email yao zaidi ya mara tatu pia bilabila. Au kuna kujuana maana siku hizi unaweza ukasema mlango wa ofisi uko mmoja kumbe iko miwili WEWEW UKUPITA MLANGO WA MBELE WENZIO WANAPITAM MLANGO WA NYUMA...
  12. UKWELIWANGU

    CRDB na undugu kwenye Ajira

    MINAONA TUNGE JADILI MADA KAMA ILIVYOLETWA NA MUANZISHAJI BADALA YA KULETA POROJO HIZI NYINGINE. Hayo maneno tu Lakini hayana utekelezaji. Kama Hauna Kitu BASI HUWEZI UKAPATA MSAADA WA KITU. TUKUMBUKE KUWA : haya maisha tu tusichekane ila tuombeane baraka kutoka kwa...
  13. UKWELIWANGU

    Mwenye uzoefu kuhusu ajira kupitia erolink

    Hili ndo tatizo la nchi yetu .Shida ya mtu ni faida kwa wengine. hasa sisi watoto wa kajambanani ndo kabisaaa. nakushauri kama hauna kazi nenda ukafanye kazi usisikilize watu wa humu wengine wanaleta utani na kati ww uko serious
  14. UKWELIWANGU

    looking for job

    POLE dada yangu. haupo peke bali na mm nimo katika hizo pilikapilika. Ushauri wangu Pindi uonapo tangazo usiache kutuma maombi Pia usiache kusambaza barua kama wenzangu walivyo kuambia sehemu tofautitofauti hata kama hawajatangaza. Hivi ni vita dada yangu tusiache kupambana mpaka tupate...
  15. UKWELIWANGU

    Sumatra

    kwa nini uliomba? usitubabaishe hauna uwakika wa kupata kwani umeshazoea kupachikwa na jamaa na marafiki zako wa karibu Hata hapo ulipo umewekwa na mtu najua unatucheka na kutukebehi siye akina kajamba nani ILA ipo siku nasi tutafurahi na kucheka kama wewe NB: HAYA MAISHA BWANA...
  16. UKWELIWANGU

    c mchezo!

    kaka hao waliopata wameshatusahau maana wanajiona wao wameshafika hawakumbuki kuwa katika maisha kuna kupanda na kushuka. kinancho takiwa tusife moyo tuendelee tu kuhangaika kwa kusambaza barua zetu ipo siku mungu atasikia kilio chetu. Hata kama Mtu ulikuwa unamsaidia kwa hali na mali ...
  17. UKWELIWANGU

    Nssf

    Ajira za sasa bwana tunadanganyana tu. pole kaka hauko peke yako hata mimi nimo kati ya wale waliofanya hiyo interview yao pia nimo kati ya wale wanaoishia kutma barua nyingi ila kuitwa kwenye interview ni nadra kama maskini kula pilau ya kuku wa kienyeji
  18. UKWELIWANGU

    Where is the government

    sisi masikini tutabaki tu kuangaika kwa kusambaza bahasha ila kazi hamna. watoto wao ndio wanaofaidika na hii nchi . huo ni mfano tu. Angalia wanavyotuzunguka kwa uongozi ; yaana kama baba alikuwa mbunge , waziri , raisi Mtoto naye huandaliwa kufuata nyayo hizohizo. utazani sisi wengine...
Back
Top Bottom