Yaah of course inawezekana mojawapo ikawa tamaa. Lkn pili wanaume tuna mihemko ya haraka sn ya kihisia mzee baba! Ndo maana kichwa cha chini kikichachamaa na km huna ubavu wa kujicontrol hisia zako ktk mapenzi unasikia jamaa kabaka ajuza, mtoto mdogo(astaghafirullah, ashakum si matusi). Wengine...
Kwa nn ss labda? Ugumu wa ghafla na kutaka tiba ya papo kwa hapo au imekaaje kwako!? Hv kweli ladha zinatofautiana au tu mnyumbuliko wa viungo ndiyo unakupa 'wazimu'?
Tujiulize tu, je michepuko inasababishwa na nini hasa?
1. Tamaa zetu wanaume kwa wanawake?
2. Mahitaji ya kimwili kwa wanawake kwa wanaume?
3. Uwiano wa me vs ke kuwa tofauti hvy kulazimu ke kujirahisisha kwa me ili nao wapate sitirika?
Nk
Labda wewe mwanamke wale wa zamani wanaojua mapenzi! Kama ndiyo hvy hongera zako na tafuta shababi na rijali hasa mwenye kuzijua show za kibabe. Lkn kama hawa wa kizazi hiki ambao hata kiuno kigumu kama nn utapata taabu tu ukiamua kuhangaika coz utaja kutana na wababe wa show na kujuta
Nadhani mada umeielewa vibaya. Mm nazungumzia suala la kukubali na hatimaye kuhalalisha kuwa mke rasmi. Wewe dada, mke na mpenzi vema ukubali muwe wawili kuliko kujidanganya
Dada suala la uwiano huo hb achana na theory nenda ktk nadharia zaidi. Basi pita hata ktk taasisi i ayihusima na masuala ya takwimu uangalie hilo kwa hapa Bongo.
Ukija suala la upendo, ni hv mm kuwa na upendo na ww hainizuii kuwa na upendo na Christina. Hy yote ya uvumilivu na blaah blaah...
Bhasi kuanzia leo nakupa ushauri huu kama makungwi wenu huko kwenye kitchen party hawawaambii twaweleza tu wazi. Mpe uhuru mwanaume kwa kumwambia kinagaubaga kuwa wewe tafadhali una nafasi na upo huru ila fanya uadilifu.
Hlf bahati mbaya zaidi mizigo yenyewe inajirahisisha mnoooo! Tofauti nna zamani ulitakiwa mtu utumie rasilimali nyingi sn kuupata mzigo unaoeleweka! Nowdays ni easy mnoo
Kwani ww upendo wa dhati unautafsiri au unaufafanua (define) vp? Kuwa na mahabbah ya dhati haina maana bhasi asipendwe na mwenzako! Vlbl Mkuu Saint anne hv mbona umchoyo hv kwa wanawake wenzako!? Hb angalia idadi ya wanawake ambao wapo tu. Kuna wale ambao bado vigori kuolewa, kuna wale...
Ugumu wk ni nini?
Ss kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wk inapotokea hvy na mzee baba anahamu ile mbaya na assume ndo alikuwa hayupo anataka yale mambo utamfanyaje? Ukizaa muda huo woote utamfanyaje kumkidhia haja zake?
Anyway, ukiachana na sababu za upande wk lkn hili jambo unajua ni la...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana hapo juu mada inawagusa wanaume marijali na shababi hasaaa sio wazee wa chipsi yai na weka na mayonaizi kwa wingi juu hapo!
Nawe ni mtu wa Pwani au umekulia sana huku! Dada zetu wengi wa mikoani japo sio wote, hawataki kabisaaa hii kitu. Unashangaa anamruhusu mzee baba achepuke lkn asijue ila sio kuhalalisha.
Aisee na akijua yupo peke yake full kusumbua... Mara leo sijisikii kunanihiii... Mara nimechoka sana, bhasi vitimbi tu! Lkn wakiwa wawili hata akizingua unacheki ustaarabu mwingine kuweka mambo sawa
Habari wanajf!
Niende kwenye mada husika moja kwa moja. Jamani wanaume kuna wakati tuwe wawazi tu katika mahusiano yetu kuwa ni ngumu sana kwa mwanaume rijali kuwa na mke mmoja! Najua wapo watakaotoa povu na wengine kusema wanaume masikini ndiyo wanaoendekeza hii kitu lkn si kweli, kama dume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.