Mapambano yanaendelea japo nimepunguza kasi kaka maana chance za transfer bila kujulikana ni kipengele ndugu yangu. Mungu akipenda nataka kurudishi shule mwaka huu mwishoni.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kuna nafasi ya Examination officer ii (General-hawakuweka somo) ilikiwa na post mbili kama Registration officer ii, naona hapo wajaitwa, shida inaweza kuwa nini au ndio wamekadwa wote ila sidhan?
Jamaa atakuwa anachanganya kati ya warden na Janitor, wajukumu yao kama yana fanana hivi ,ila elimu ya chini ya kuwa Warden ni degreee (salary ni PGSS 6 sawa na 1.2M) na wakati Janitor elimu ya chini ni diploma na uanza na salary ya hiyo laki 8. Mfano SUA wanawatumia sana ma Janitor, ma warden...
Hongera sana je ulifanya taasisi gani? uhusiano upo kwa tafsiri isiyo rasmi umefaulu usaili yaani upo katika kundi la waliopata juu ya 50 oral, kwahiyo itategemea taasisi uliyofanyia usaili inataka watu wangapi na wewe kati ya hao mliofanya oral na kupata 50+ wewe ni wangapi, kama taasisi...
PSRS wana msiba, huyu sijui ni kitengo gani aiseee, Mungu asaidie asiwe yule IT wetu wa kutupia ma PDF
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Naona TAA wameanza kuajili wao wenyewe, watoto wa masikini tutakoma tembelea page ya mabumbe uone tangazo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Unaposema 1:3 unamaanisha mfumo mmoja wa cement, je hiyo 3 nini, ndoo za mchanga, dololi au ndoo kubwa?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Inatia moyo kwakweli ingekuwa hivi toka enzi za kitenge wengi tungekuwa tupo asalini. Maana sasa wanachofanya ni kukomba data base kwanza mpaka waishe ndio watangaze ajiria nyingine labda tu hilo tangazo kama halina mtu database(waliopata 50+) ndio wanatangaza direct
Sent from my M2006C3LG...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.