Search results

  1. Baikije

    Hadithi ya Sitasahau alichonifanyia daktari wa saratani ya matiti

    Wakuu juzi kati hapa kuna mwamba alianzisha Chombezo kama linavyosomeka hapo juu, bahati mbaya nimelitafuta nisome silipati anaejua anipe koneksheni au lilifutwa?
  2. Baikije

    Maandiko ya dini na usingizi

    Habarini wana JF, Niende kwenye mada kuokoa muda na fedha. Iko hivi kuna jambo huwa nashindwa kuelewa kabisa, mara nyingi ninapopitia mitandao ya kijamii kama vile Instagram, JF, Facebook, Twitter n.k, naweza kupita huko hata masaa mawili na nikawa kawaida tu nisihisi chochote lakini kila...
  3. Baikije

    Kapangiwa mahari zaidi ya milioni nne

    Habari zenu wakuu na wajuvi wa kila jambo, niende kwenye mada kuna jamaa yangu amepangiwa mahari ya zaidi ya 4m ili kumuoa binti ambae amezaa nae mtoto mmoja, ukimcheki jamaa na familia yake ni tia maji tia maji yaani hawana maisha kiviiile sasa jamaa amepokea barua ya maelezo amepigwa...
  4. Baikije

    Msaada kwenye tuta

    Habari wana jf, kifupi kuna manzi nilikuwa nadate nae, mwezi uliopita nilipohitaji sex aliniambia yupo kwenye siku zake ila baada ya wiki tatu ananiambia anaujauzito wangu ilhali tangu aniambie yupo (blid) sijamgegeda! Sasa najiuliza imewezekanaje hii? Pia inawezekana kupata hedhi huku akiwa...
Back
Top Bottom