Search results

  1. CoHU

    Natafuta mpenzi wa kuwa nae kwenye shida na raha na baadaye awe mke wangu

    Habari zenu wana jamii? Mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo: 1.Nina 34yrs. 2.Maji ya kunde. 3.Kimo ni wastani(mrefu kiasi). 4.Mwembamba(sio sana ni mwili wa mazoezi). 5.Nimesoma hadi darasa la saba. 6.Sina kazi kwasasa(naunga unga tu ili siku ziende). 7.Kabila ni Mkinga(Mahanji)...
  2. CoHU

    Natafuta kazi ya kufanya kuanzia saa kumi alasiri hadi alfajiri.

    Sichagui aina ya kazi,elimu yangu ni darasa la saba,hivyo nahitaji kazi yoyote. Napatikana Ubungo Dar es Salaam. Nitafurahi ombi langu likipokelewa vizuri na kupata kazi. Itapendeza sana nikipata sehemu inayofikika kwa urahisi kutoka Ubungo.
Back
Top Bottom