Search results

  1. DongoJeusi

    Vituko vya January

    Vituko vya january ila si makambako Hiki ni kipindi ambacho ongezeko la watu wanaongea peke yao huku mjini huongezeka kwa kiasi kikubwa. Wale wadada wa nyumbani ni kipindi chao kuacha kazi majumbani hii ni kutokana na malimbikizi kibao ya mishahara yao Embu jaribu kuongezea na zako hapa...
  2. DongoJeusi

    Nina tamaa ya kuwekeza

    Heri ya mwaka mpya wana JF hongera sana kwako kwa kuweza kuiona hii siku ya leo na pole sana kwa wale ambao bado ni wagonjwa naamini kwa MUNGU muweza watapata nafuu. Mimi mwanafunzi wa chuo fulani hapa Mwanza na nipo mwaka wa pili sasa tamaa yangu kubwa sana mpaka hivi sasa Ni kuwekeza katika...
  3. DongoJeusi

    Uzi huu ni kwa ajili ya maswali mbalimbali ya kiuchumi ndani na nje ya Tanzania karibuni.

    Yapo maswali mbalimbali tukiwa tukijiuliza hali ya uchumi TANZANIA inaendaaje nazani kupitia huzi huu naamini kwamba wapo economists wengi tu ambao wanaweza kabisa kutujibu maswali yetu kushare kile walichonacho kuhusiana na tendence ya uchumi hapa kwetu karibu tuwe pamoja
Back
Top Bottom