Search results

  1. Salange

    Makamanda wa polisi wa mikoa nao wanashindwa kutafsiri maana ya 'central police station'?

    Ni kawaida kuwasikia watanzania wengi wakisema ' kituo cha kati' cha polisi kwa maana ya ' central police station' badala ya kusema ' kituo kikuu cha polisi'. Hata kituo kikiwa pembeni ya mji tunasema kituo cha kati! Tumezoea hivyo na kwa kweli tunadhani ndiyo usahihi wenyewe. Kioja ni pale...
  2. Salange

    Halmashauri ya Wilaya ya Kyela itawalipa lini walimu hawa stahiki zao?

    Aliyekuwa Afisa Kazi Kanda ya Rungwe miaka ya 90 na 2000, alipata kuonyesha mshangao wake jinsi suala la madai ya mafao na stahiki za waliokuwa walimu na watumishi wa shule za sekondari za Ipinda na Itope kabla hazijachukuliwa na serikali, lilivyokuwa likishughulikiwa na Halimashauri ya Wilaya...
  3. Salange

    Uraibu (addiction) unavyotafsiriwa kimakosa

    Wengi wetu tumekuwa tukiwanyoshea vidole vya lawama watu kutoka makundi fulani walioathiriwa na uraibu wa matumizi ya vitu mbalimbali kama pombe, sigara, dawa za kulevya, caffeine ya kwenye kahawa au chai na ngono. Uraibu huu umewatia matatizoni waathirika kwa namna mbalimbali hususani upotevu...
Back
Top Bottom