Search results

  1. Shadow120

    Masters of Public Health(MPH)

    Wadau, kuna kitu najiuliza kuhusu MPH ya MUHAS. Kwa miaka mitano mfululizo now naona watu wengi sana wanaiappky kulingana na Masters degrees nyingine. Hii imepelekea mimi kujiuliza swali je ni kwa sababu gani watu wanaikimbilia hii course?? Kwa wingi wa wanaoiapply na waliograduate nikafikiri...
  2. Shadow120

    "Graduates" karibuni sana mtaani

    Mkuu kwani ulisoma course gani SUA?
  3. Shadow120

    Ulichosomea kimekutoa kimaisha?

    Mbona sioni wa Masters na PHD???😅😅😆😆 Note:Swali langu lina nia ya kufahamu upepo postgraduates.
  4. Shadow120

    Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    Nahis hujaekewa mada mkuu, joining instructions zinasema 29, but kuna taarifa naipata kwa watu kuwa vyuo vyote wanafunz wanatakiwa kuripot tar 27
  5. Shadow120

    Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    Wana jf Nina mkanganyiko kuhusu tarehe ya kuriport chuoni. Kulingana na chuo nilichopangiwa(sua) Ni tar 29 na pia nasikia baadhi ya taarifa za nje zinasema vyuo vyote Ni 27, ipi ni tarehe sahihi??
  6. Shadow120

    Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    Wale wa BVM sua tukutane hapa hata tupeane mawaidha kuhusu hii course
  7. Shadow120

    Udaktari wa mifugo

    Ahsante kwa jibu lako mkuu
  8. Shadow120

    Udaktari wa mifugo

    Wadau Nina sawali; Je mtu aliyesoma BVM(bachelor of veterinary medicine) anaweza Fanya kazi Wildlife :kuwatibu wanyama pori???????
  9. Shadow120

    Msaada

    Wakuu naomba msaada wa majina ya vitabu vizur vya veterinary anatomy
  10. Shadow120

    Nilitamani sana kuwa Lecturer(Mhadhiri) lakini G.P.A haijatosha, nimegraduate na G.P.A ya 2.7

    Vip kuhusu BVM pale SUA??, unatakiwa kupiga GPA ya ngap ili ubaki??
  11. Shadow120

    Biotechnology and laboratory science

    Wakuu hii faculty inahusu nini?? Na applications zake ni wapi?? Ninaomba ufafanuzi kidogo kwa anayeifahamu
  12. Shadow120

    Masters of Veterinary Medicine

    Wakuu swali langu ni kwamba, je ni muhimu kuendelea na masters ya VM endapo umekidhi vigezo au ni upotezaji mda Tu??
  13. Shadow120

    Agricultural engineering

    Hiyo food engineering inahusika na Nin??
  14. Shadow120

    Agronomy

    Mkuu nashukuru, umefafanua vizur
Back
Top Bottom