Search results

  1. gTurn

    Angalizo vyombo vya usalama maeneo ya Temeke

    Habari zenu wana jamii Sina uandishi mzuri ila mnivumilie, lengo la kuleta hapa hili suala ni ili kutoa alert kwa vyombo vyetu viongeze umakini haswa.. Ilikuwa hivi leo niliamka asubuhi kama kawaida kuna mtu nilikuwa na appointment nae Temeke Tandika Mimi nilitokea sehemu inaitwa Mwandege ni...
  2. gTurn

    CHADEMA na ACT-Wazalendo wekeni mawakala wa nje

    Kutokana na hii sintofahamu ya idadi ya wapiga kura kuwa 29M, ushauri wangu wawepo watu nje kila kituo wanahesabu idadi ya watu wanaingia kupiga kura ili jumla ya wapiga kura wote tuijue ili wakichakachua tujue. NB: NEC wajue kuwa Watanzania sio wale wa miaka hiyo; sasa hivi wataachwa uchi kama...
Back
Top Bottom