Habari zenu wapendwa katika bwana..!! Asalam Alekh!! Kwanza ningependa kutanguliza shukrani zangu kwa wana JF kuwa pamoja muda huu... sina mengi ya kusema ila jambo kubwa nalotaka kuwaeleza ni juu ya kujitolea figo kwa mtu yoyote ambae yupo katika hali mbaya, nimeamua kufanya hivi kutokana na...
Habari ndugu wanajamii forums mie ni mgeni humu ila nashukuru kwa topic zenu. Shida yangu kubwa ni kutaka kujua kama endapo mtu unaamua kujitolea msaada figo kwa wagonjwa wenye tatizo, hata kama sio ndugu yako je unatakiwa ufate taratibu gani ili kuwapata walengwa na inawezekana kufanya hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.