Search results

  1. W

    Kiongozi anayehamasisha vurugu hatufai

    Mkigoma, umenena vema, hasa slaa utadhani alizaliwa ili awe Rais!!! anafanya hivi kwa kuwa uzee umekwishamfika ana miaka 65 akiukosa 2015, mwaka 2020 atakuja na mkongojo.
  2. W

    Chadema, CUF, NCCR na TLP Kuhutubia Mikutano kwa Pamoja Nchi Nzima

    Cuf na isishirikiane na chama kinachotumia UDINI.
  3. W

    Tugome au Tuandamane Ijumaa tarehe 28/04/2012. It's worth it..!

    hivyo ndivyo ilivyo kama una chuki nae hazitakusaidia mungu ndie aliyempa uwezo na wazungu wamemuona, amekataliwa na kijiji anaongoza Dunia.
  4. W

    Tugome au Tuandamane Ijumaa tarehe 28/04/2012. It's worth it..!

    hayo maandamano yatakuwa lini mh. Lipumba tunayasubiri kwa hamu.
  5. W

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    akiongea na waandishi katika ofisi ya lumumba shigela amesema millya amechukua uamuzi uamuzi wa kujivua gamba ni utekelezaji wa kukisafisha chama. alisema martin shigella katibu wa ccm vijana taifa.
  6. W

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    mwasisi wa chadema edwin mtei anahitaji kupewa ushauri wa kinasaha na si kumlaumu na kumtolea kauli za kumdhalilisha, kwani ugonjwa huu wa udini unaomsumbua Mtei, dawa dawa yake ni ushauri na nasaha si kumlaumu au kumtusi.
  7. W

    Zitto kufukuzwa CHADEMA?

    Kimefanyika kikao cha watu watatu Mbowe, Slaa, na Mtei (cha siri) kilichoketi kuhakikisha Zitto anafukuzwa katika chama. Inadaiwa ni kwa sababu ya kupingana na mpango wa chama hicho wa kuhakikisha wanatetea maslahi ya 'wakubwa ndani ya chama' na hasa katika katiba mpya inayokuja. Kitendo cha...
  8. W

    CHADEMA inaangalia uwezo na uadilifu; maoni binafsi yasichukuliwe kuwa ni msimamo wa CHADEMA

    kauli ya mtei ni kauli ya chadema, mnyika halikwepeki hili, sasa waislamu tumewaelewa chadema
  9. W

    Lipumba; CCM bye, bye, bye Tanga.

    kesho yupo kata ya msambweni, kabla kuelekea kusini hadi kanda ya ziwa.
  10. W

    Tume ya mabadiliko ya katiba

    muungano ukivunjika, Tanganyika nayo igawanywe kwa kufuata dini, wakristo wapotelee bara waislam wabaki pwani, tatizo la hawa wakristo wanasukumwa na udini.
  11. W

    Kamanda Lema kuanza Dar!!

    Lema? Lema? Lema huyu si mchaga huyu? huku Dar hatuwafagilii wachaga ni wabaguzi hawa hawafai kupewa nchi
  12. W

    Lipumba; CCM bye, bye, bye Tanga.

    mkutano ulivyofurika, kweli CUF ipo mioyoni mwa wana cuf
  13. W

    Arusha: Kwanini wakazi wa jirani na Msikiti wa Bondeni wengi hawaipendi CHADEMA?

    hawaungi mkono cdm kwa sababu chama hicho kina element za udini.
  14. W

    Arusha: Kwanini wakazi wa jirani na Msikiti wa Bondeni wengi hawaipendi CHADEMA?

    hawaungi mkono CDM kwa sababu chama hicho kina element za udini,
  15. W

    cuf na cdm nnawaomba muungane uchaguz 2015

    Cuf ni chama imara wanajipanga na watarudi kwenye game muda si mrefu.
  16. W

    Kwa hili CUF na NCCR mnahitaji pongezi

    kura za CUF ndizo zilizogawa jimbo la igunga tukalikosa, kwa hiyo kutoshiriki kwao kumesaidia wapinzani kutokugawana kura.
  17. W

    CUF washinda Kata ya Msambweni-Tanga

    CUF Wameshinda kata ya msambweni tanga mjini, wametetea kata hiyo.
  18. W

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    huku vijiji ccm ndio wametushinda vibaya sana.
  19. W

    Hali ya usalama ni tete jijini Mwanza

    nyie simlikuwa mnajaza watu kwenye mikutano? vipi tena unasema kuwa watu hawakujitokeza hao ni wafuasi wa chadema, vijana wengi huwa wanashindwa kutunza shahada ya kupigia kura, wanajaa kwenye mikutano hawana shahada.
  20. W

    Hali ya usalama ni tete jijini Mwanza

    mkiambiwa chama chenu ni cha kidini mnalalamika wakati ninyi wenyewe ndio mnaingiza mambo ya kidini.
Back
Top Bottom