Search results

  1. M

    Tumbo wa CHADEMA ataka kurithi 'viatu' vya Rostam

    Wanachama wa chadema mnadanganyana tu hapa. Subiri muone kichapo. Mtasema mmeibiwa kura tu! <br /> <br />
  2. M

    Historia ya Hayati Luteni Jenerali Silas Mayunga, Mti Mkavu (1940-2011)

    Ni Luteni Jenerali sio meja jenerali...usimshushe cheo <br /> <br />
  3. M

    Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

    Napata hisia serikali ya Chadema itakuwa ya kidikteta sana.kila mnachoamini hamtaki kukosolewa au kushauriwa. Tunaelekea kupigana bungeni sasa
  4. M

    Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

    Nchi iko kwenye mgogoro wa nishati na chakula wabunge wanagombana tu. Uvumilivu wa kisiasa wanaodai akina Lissu si wauonyeshe wao kwanza basi. Huu ni upuuzi. Wanachojua ni kimbelembele cha kukimbilia Tarime kuzuia mazishi na kujihusisha masuala mengi yanayowapa cheap publicity. Hii nchi...
  5. M

    Executive Solutions ndiyo inahusishwa na sakata la Jairo? - Marealle akanusha!

    Let us not look at things in a narrow sense. We need to look at this in a broader perspective and address the issue accordingly because it is not only the Ministry of Energy that has been involved in such gross misconduct. Serikali na sisi kama watanzania tujadili namna ya kumaliza matatizo kama...
  6. M

    Executive Solutions ndiyo inahusishwa na sakata la Jairo? - Marealle akanusha!

    Nadhani we need to be very careful kwakweli bse maneno yanayosemwa hapa JF yanaleta hisia tofauti na yanaweza ku-influence perceptions za watu wa kada mbalimbali kuanzia lawmakers, policy makers, donors, business community, investors mp aka a common man. Personally am always afraid to carry the...
  7. M

    BUNGENI: Wenje amlipua Membe; yeye atoa onyo kwa mabalozi!

    Wenje ni mpuuzi, huyu ndie alitaka bunge lifungwe wapigane...
  8. M

    Executive Solutions ndiyo inahusishwa na sakata la Jairo? - Marealle akanusha!

    RealMan usiwe na chuki kwa watu bila sababu kaka. Unaongea kama vile una uhakika. Tuache tabia ya kutoa hukumu bila uhakika.
Back
Top Bottom