Search results

  1. Jokajeusi

    Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

    Endelea kujitekenya. Mdogo mdogo dawa zimeanza kukuingia.
  2. Jokajeusi

    Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

    Wewe si ndiye ulikuwa unanipinga siku zote!E Endeleenikujitekenya na kucheka wenyewe.
  3. Jokajeusi

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Umri nilionao hainikutanishi na mabinti wenye hizo Bikra
  4. Jokajeusi

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Hakuna sehemu nimesema mimi ni mzoefu wa Ndoa. Nilichoeleza ni msimamo na kiapo changu kuhusu familia niliyoiwaza wakati nipo mtoto. Sasa naona faida yake
  5. Jokajeusi

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Kama mkeo walivyombikiri. Uzoefu huo unao
  6. Jokajeusi

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Au unataka ninyonye damu yako chafu
  7. Jokajeusi

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Kamwe sitaharibu ambacho hakijaharibika au kuharibiwa.
  8. Jokajeusi

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Kabla ya kuoa Walisema kupata mwenye Bikra ni changamoto, nikapata. Wakasema, kuishi na mke baada ya kuoa ni kazi, nikaoa. Wakasema, Mwanamke akishazaa inapoteza hamu naye, wangu anawatoto wawili, mpaka sasa mapenzi yanapamba moto. Sasa mnasema kuanzia miaka 10 kwenda ishirini kuna changamoto...
  9. Jokajeusi

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Hatupendi kula vitu vilivyoharibika
  10. Jokajeusi

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Mughonile. Niliapa sitaharibu ambacho hakijaharibika au kuharibiwa. Sitaondoa Bikra kama sitamuoa huyo Mwanamke. Kama una bikra basi nisingekuchezea lakini kama umejiharibu au kuharibiwa nilijipa uhalali wa kuendelea kufanya uharibifu. Niliapa sitokuja kuoa Mwanamke asiye na Bikra hata...
  11. Jokajeusi

    Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

    ✔️✔️ Vijana waseme hakuna Wake wa kuoa.
Back
Top Bottom