Search results

  1. K

    Mukama akishangilia USHINDI WA IGUNGA

    Hawana jipya hao kwani siku zao zinahesabika nasikia CDM wameshinda wanagoma kutangaza...aibu yao CCM,w 2015 ndio kiama chao..PEOPLES POWER DAIMA
  2. K

    Mwigulu Nchemba Balaaaaa

    Inaonekana uwezo wako wakufikilia ni mdogo...yani we naakili zako unashangilia chama cha MAGAMBA
  3. K

    Bundi sasa amnyemelea kikwete

    kweli hapo baba riz kaz anayo...
  4. K

    Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

    Mwenyekiti wa leo alikuwa mbumbu kweli hata kuwasha mike alikuwa anapata shida mda mwingine anaongea bila kuwasha... Hii inaonye ni jinsi ccm imejaa wababaishaji
  5. K

  6. K

    Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

    Mwenyekiti wa leo alikuwa hawezi kuendesha bunge coz kuwasha mike yake alikuwa hajui mda mwingine alikuwa anaongoza bunge bila kuwasha mike yake,mi nadhani alikuwa mbumbu mpaka yakatokea yote hayo!lmheshimiwa lukuvi alitumia busara kuwatuliza wabunge lakini m/kiti hakuelewa kabisa jinsi ya...
  7. K

    Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

    Hali ilikuwa ngumu leo mpaka m/kiti akaaita maafisa usalama wa bunge kumtoa mbunge wa upinzani nje aliye kuwa akiomba mwongozo kuhusu kupata mda wa dharula ili mweshimiwa lisu awasilishe ushahindi wake..baada ya hapo umeme ulikatika hatukuona kama alitolewa au laa..kamaa kuna habari zaidi...
  8. K

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Hata mimi nimesikia,sasa cjui ndugu zao watakuwa wameshapata taarifa!tuwaombee wapumzike kwa amani...
Back
Top Bottom