Search results

  1. C

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Wewe jamaa Kuna namna umelelewa, nikwambie nilipokua mikononi mwa wazazi nilikua naona kabisa hapa mama kachafua hali ya mambo mzee akitembeza kipigo wala sina habari, Ila ungesema kwa wale akina baba wasiojitambua jambo dogo tu ye kichapo tu, mwingine akilewa ni kichapo bila sababu hapo...
  2. C

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Wao waislam taraka zinafanya kazi yakwanza, asipojirekebisha anapewa nyingine asipojirekebisha anapewa nyekundu lakini sisi haturuhusiwi kutoa taraka eti tufe na tai shingoni.
  3. C

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Wengi wakikua wataujua ukweli na watakupenda sana tu na watamchukia mama yao, mi sifikirii na hainiingii akilini mwanaume umpige mkeo bila sababu tena iliyoshindikana kuvumilika.
  4. C

    Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

    Sio inferior mkuu najiamini na nipo strong hawa wadudu (wanawake) akili zao nazijua ila hiyo ni option mojawapo maana ukimzidi kila akikutizama anaona weee wataniibia nisipotii lakin akikuzidi aisee anakuona takataka mbona wanaume Wengi wanamtaka.
  5. C

    Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

    Usiogope kuoa ila kwa ushauri wangu kwako na uzoefu nilonao, usije thubutu kuoa mke anayekuzidi UZURI. Wengi mtashindwa kunielewa kwa haraka namaanisha nini Wenye IQ nzuri wataniunga mkono.
  6. C

    Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

    [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
  7. C

    Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

    Halafu nawewe usituchanganye hapa, mnajifanya Kupenda watoto wa kishua ndo mkome, wewe unaoa mke ambaye hata nguo yake ya ndani hajui kufua kazi zote alikua anafanyiwa na house girl kipindi yupo kwa wazazi wake sasa wewe unalalamika nini
  8. C

    Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

    Kweli kabisa mkuu kabla ya kuoana muweke masharti /mkataba mezani ili ambaye ataona hayawezi basi mtu unaamua kuikubali au kuikataa hiyo ndoa lakini hii ya kusema mbele kwa mbele aiseee ndo ka hivi mtu analia lia.
  9. C

    Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

    Haya ndo makosa tunayofanya wanaume, mi nilishamwambia mke wangu sihitaji house girl wala house boy nyumbani kwangu marufuku na kawaida mke ni wa nyumbani kutunza familia hii ya kusema nioe mfanyakazi matokeo yake ndo hayo huu ni upambafu mwanaume ulishaambia na Mungu utakula kwa jasho...
  10. C

    Mafuta ya taa kwenye msosi shule za bweni, ni kweli yanapunguza nyege?

    Ndugu hilo jambo lina ukweli maana hata jela ni hivyo hivyo nilipojaribu kuwadodosa wale wakongwe wa jela walisema majibu hayo hayo.
Back
Top Bottom