Search results

  1. The last Nyiha King

    TUITUMIE JUMAPILI MAKANISANI KWENDA KUSALI NA SIO KWENDA KUONYESHA UFAHARI WA MAVAZI NA VITU TULIVYONAZO!

    Kama kichwa kinavyojieleza, Miaka ya Sasa kumekuwa na kasumba kubwa Sana kwasisi wakristo hasa siku za ibada(Jumamosi na JUMAPILI),watu tumekuwa tukivaa MAVAZI ya UFAHARI KWENDA kuwaonyesha watu badala ya kuupeleka moyo kwa ajili ya utakaso... Hii ipo kwa asilimia kubwa kwa wanawake,Yan...
  2. The last Nyiha King

    Kwanini siku hizi wasanii wa nyimbo za Injili hawaimbi kukemea maovu kama zamani?

    Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza hapo juu, miaka ya hivi karibuni wasanii wa nyimbo za injili wamekuwa wakitoa nyimbo nyingi zakusifu mazuri, kama vile maisha mazuri na pesa n.k, tofauti na Miaka ya zamani wasanii wengi walikuwa wakitoa nyimbo za maonyo, nyimbo zakukemea dhambi, nyimbo ya...
Back
Top Bottom