Sasa mtu akiwa mgonjwa ndo aitwe Maiti inayotembea?.Labda hii ajali ingeondoka na huyu NAPE watu wengine kama wewe mngekuwa na nidhamu kwa wazee wenu.
Zimebaki siku2,BADO MMOJA.
Hii inaonyesha ni jinsi gani ccm mlivyo taaban,umekwenda kufukua mada ya septemba ambayo hata hivyo ilikuwa ni propaganda halafu mnafarijiana na wenzio humu ndani.Hivi we Mr.chin umerogwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.