Search results

  1. Kuhara

    Wafanyakazi wa NSSF Mtwara huchukua namba za wateja na kuwaomba rushwa

    Habari na kheri ya mwaka Mpya JF japo stress zimetawala. Naomba kwenda katika point direct, NSSF Mtwara kuna wahudumu wachache huwa wanaenda Mapokezi na kupiga Picha Namba za simu za wateja walioingia pale hiyo Siku katika kitabu cha wageni na kisha kuwapigia huku wakinukuu personal information...
  2. Kuhara

    NIDA Tafadhari.

    NIDA Kuna Jambo linaendelea katika simu za Wananchi ambao Hawajasajiliwa na hata kujiandikisha ili Wapate Namba Ya Uraia Wa Tanzania, Nalo ni Wanapokea Ujumbe Wenye namba za Uraia tokea NIDA na wanafurahia kufikiria Mumeamua kuzigawa kwa Mtindo huo Pasipo jiandikisha ama lah na Mwisho wa siku...
  3. Kuhara

    Window Period for HIV

    Habari za saa hii hapa JF, Naomba nisaidiwe kufahamu hiki kipindi ambacho mtu anakuwa katika upande wa amepata maambukuzi ya Virusi Vya Ukimwi lakini bado ule muda wa mwezi mmoja mpaka mitatu bado haujafika (Muda huu akipima kipimo kinaonesha NEGATIVE) Je, anaweza kuambukiza kwa mtu mwingine...
  4. Kuhara

    Mwanamke kutokwa na mkojo wakati wa tendo la ndoa

    Habari za Jumapili wandungu wa JF Niko hapa ninamaanisha na naomba msaada. Jana nilikua na shemeji yenu mpya tupo katika tendo ambalo nilichukua takribani dakika 67 bado sijamaliza na baada yakufika dakika ya 68 nikamaliza. Kilichonitatiza mpaka nakuja hapa ni baada ya kuchomoa tu ukamtoka...
  5. Kuhara

    Hodiii

    Jamani mimi ni Mgeni hapa! Naomba Ushirikiano Wenu mim n Mwanaume Naitwa Zube.
Back
Top Bottom