Search results

  1. F

    The road towards 2010 Elections

    tumeiona CV yake , lakini sisi ni nani hasa mpaka tukiuke maadili ya dunia ? Jimmy hakupingwa ila alishindwa Reagan ambaye 1976 alifanya haya mnayotaka yamtokee JK matokeo yake jimmy akamshinda Ford. JF tuwe wadadavuzi na si washangiliaji hata pasipo na kweli .
  2. F

    Genge laundwa kumkabili Kikwete: Agenda 21?

    Mwana Halisi iko owned na Ikulu au?
  3. F

    CUF wamtega Kikwete: "Asimamie mazungumzo ya muafaka"

    JK knows what is next but ni wao KAFU ndio wasioona ukweli huo, msekwa keshasema kama ni muafaka 2010 na si sasa ,lakini wao wamemng'ang'ania Shamhuna wakati anyefanana na Amani keshasema pengine 2010. Au watuambie kama Msekwa keshakanusha hili? Sisi CCM tunafahamu matatizo ya Unguja na Pemba...
  4. F

    Mkapa above the law?: Allegations

    Raha kweli hapa wakuu, maana mpaka gembe anapopendekeza gaidi bila kujali kuwa sharia ya ugaidi ipo tayari maungoni mwetu TZ ni hatari sana. Kumekucha Tz
  5. F

    Mkapa above the law?: Allegations

    nani Mwenye Ushahidi Kuwa Mkapa Amekasirishwa Na Hiyo Bag Party Mlioiandaa Huko Masaki? Maana Hakuna Malalamiko Yake Polisi Wala Kampuni Ya Manyasi, Waulizeni Hao Waliondaa Hiyo Bag Party Ikoje Sherehe Yao Na Wao Waende Lupango Wakati Mualikwa Hana Analolijua,HIYO DEAL MKAA IMEWABAMBA...
  6. F

    CUF wamtega Kikwete: "Asimamie mazungumzo ya muafaka"

    Ni nani aliyekuwa amejitoa ktk muafaka jamani? CCM au CUF? Mnawapa masifa yasiyowastahili hawa jamaa!! JK aaache mambo makubwa ya nchi aende akashughulikie muafaka ? Muafaka wa nini? Kwani kuna watu bado wako Shimoni au? JK komaa na mambo muhimu siasa za Wapemba na Waunguja Mkapa alizimaliza...
  7. F

    Mkapa above the law?: Allegations

    Gembe amethibitisha tetesi kuwa JK is behind all of these games against his successor. Ni wazi hii iko planned, tokea msafara wake,Dar leo/aka Majira na hata hao polisi walioshiriki ktk ukamataji. Msafara wa kiongozi mara zote hauna hata hiyo nafasi ya kushuhudia makelele ya hao vijana kutokana...
  8. F

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Ukweli Ni Kwamba Watu Wa Unguja Wana Hasira Na Jk Na Wanaamini Yeye Ndiye Chanzo Cha Hii Agenda,sasa Wameenda Mbele Zaidi Maana Wanamsema Vibaya Eti Huyu Jamaa Kukaa Miaka Miwili Kisiwandui Keshajiona Mnzanzibar Tayari!! Anasema Anatufahamu Sisi Ndani Na Nje,wanamtuhumu Kuwa Anataka Awaletee...
  9. F

    Basil Mramba in graft probe

    Tunashukuru Kuambiwa Kuwa Pccb Wanamfanyia Kazi Huyu Mtumishi Mramba; Is Fine But Watuambie Baada Ya Uchunguzi Wao Maana Magazeti Yetu Yamedumu Kwa 3yrs Now Vyanzo Vyetu X7x7x7 Is Too Much . Hawa Jamaa Wa This Day Hawajatuonyesha Umakini Wao Ktk Hili Sakata Au Chanzo Ni Hapa Kwetu Jf? Mwandishi...
  10. F

    Mkapa above the law?: Allegations

    Kwahiyo tuiombe msamaha kwanza CCM kisha tuwatoe roho walio kula .Ndio hekima hiyo wakubwa
  11. F

    Mkapa above the law?: Allegations

    Hahahaaaaaaaaa,kazi kwelikweli wakubwa mnapotanuana mbavu zenu. Hapa ni shuleni ipo siku watu tafauru paper kwa nguvu ya maono ya JF
  12. F

    Mkapa above the law?: Allegations

    Mtasema Wenyewe Na Viji Gazeti Vyenu
  13. F

    Mkapa above the law?: Allegations

    mkuu Wa Medani, Askari Wa Miavuli Ni Neno Aliloibuka Nalo Siku Moja Baada Kuapishwa 2000,nasisitiza Wasiliana Na Tbc Watakupa Hiyo Clip Na Day One Yake Maana Nakumbuka Project Ya Maji Wami Ni Baada Ya 2000 Mkuu. Kuhusu Hilo La 3rd Term Bado Nasisitiza Kuheshimu Kauli Yake Iliyomo Ktk Mahojiano...
  14. F

    Mkapa above the law?: Allegations

    Si Kweli Kuwa Mkapa Alitaka 3rd Term Mkuu Wa Medani,hapo Umeleta Jipya Ktk Agenda Unayoifahamu Wewe Mwenyewe. Tumuulize Jenerali Ngwilizi Au Mark Mwenyewe Utaufahamu Ukweli Mkuu. Mkapa Alimtuma Dr.omary Kumpiga Chini Salmini 2000 Akiwa Mwanza Alipothubutu Kuwaonya Wakuu Waondoke Madarakani Bado...
  15. F

    Kubenea kumwagiwa tindikali: Nini chanzo?

    Niliwahi uliza hapa JF " KUBENEA HAWA NDIO WATESI WAKO?" Sikujibiwa na mpaka leo mzee anakukuruka na mahakama lakini hatuna jibu, ujumbe wangu kwake "Kama unafanya ufisadi kwa kula Mapapai ya watu basi ni wajibu wako kukiri hadharani kuwa wewe ni FISADI HALISI"
  16. F

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Mkapa Aliwahi Fokea Wana Habari Wetu Pale Magogoni Na Kuwasema Kuwa Serikali Wanajua Nani Wanagharimia Magazaeti Yao Na Wafanyakazi.!!!!!, Kama Kuna Facta Basi Tusubiri
  17. F

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Je ni kweli mzee Vijisenti yuko hoi Lugalo kwa kuji poison? Wakuu nendeni kazini mtupatie fact au ndio uzushi umeenza kuenea jijini Dar.
  18. F

    Mkapa above the law?: Allegations

    Mkuu wa Medani CCM ni chama chetu sote ,wala rushwa na tusiokula rushwa tumo humo na wewe ukiwemo.Wacha tusubiri hatima maana bado ninakumbuka nilichowahi kutahadharisha kuwa hakitatokea. Nasimama upande huo ,tusubiri matokeo ya utabiri wako na imani yangu juu CCM mkuu kumpeleka Mahakamani...
  19. F

    Mkapa above the law?: Allegations

    [B]shukrani yangu imelenga kutambua udhaifu wako mkubwa ktk kupambana kwa hoja na jazba za matusi na dharau ya kijivuni,si mjuaji bali mdini uliyekosa hoja ya kupambana na mzee PM, tupe facts achana na mentality za udini ktk kumshikisha mtu adabu,tambua "HAKUNA HAKI ISIYO NA WAJIBU" JK ALIKIRI...
  20. F

    Kwanini Mkapa??Je CCM Kugawanyika??..Yes I said Makamba Jiuzuru

    The name "Benjamini William Mkapa" 2006-2008 ni jina lililotajwa sana JF,Magazetini,Vibarazani isipokuwa ktk nyumba za ibada ,ametajwa sana kushinda jina la muumba, kuna nini hapa waungwana, is it UFISADI tu au? JK anataka kutupa somo gani? CCM na Bunge lake wanataka kutueleza nini? Ipo siku...
Back
Top Bottom