Search results

  1. Spice islander

    Ombi la kutafuta ajira

    Wakuu habari yenu.. Samahani, kuna mdogo wangu anatafuta kazi,ni jinsia ya kiume,ana miaka 21,amemaliza form four,ni mcha Mungu,ni mtiifu. Alikuwa anaomba kupata kazi kama ya kuuza duka, stationery,bar tender,spa tender,beach boy,internet cafè. Yupo Longido,Arusha. Namba zake ni 0758579097...
Back
Top Bottom