Search results

  1. kabikae

    Tanzania nchi yangu

    Hakika huu wimbo umenikumbusha mambo mengi nikiangalia nchi inavyoenda hakuna ustawi ktk jamii,uzalendo,haki,amani na tumaini letu linazidi kupotea kwa kukosa utashi kwa baadhi ya viongozi,rushwa kila kona,uonevu wa kila namna,Uhuru hamna na watanzania kupoteza tumaini kutokana na hali ya...
  2. kabikae

    Natafuta nafasi ya kazi

    Salamu wana jf! Naleta kwenu maombi ya ajira mnisaidie mdogo wenu. Mimi ni kijana wa kiume. Umri wa miaka 24. Makazi_Kibondo Elimu;Diploma ya Tehama Lugha;Kiswahili,English Nipo mbele yenu hapa kuomba msaada wa ajira au kibarua chochote kitakacho nisukuma nitimize malengo yangu ya kupata...
Back
Top Bottom