Search results

  1. nelugendo

    New jobs 5 december

    thanx but hiyo ya swissport ni nafasi gani?
  2. nelugendo

    Msaada tafadhali

    naomba wanajamii mnisaidie ni nataka kusoma kozi za cabin crew niende wapi?ni hayo tu ahsanteni
  3. nelugendo

    Scholarships for tanzanians.

    sorry but iam still not conviced ,hivi ni chuo gani hicho kinachotoa schorlaship kirahisi hivyo then hiyo schorlaship still unainunua kwa dola 70 mmmh
  4. nelugendo

    Scholarships for tanzanians.

    mi mi pia hainingii akilini
  5. nelugendo

    Scholarships for tanzanians.

    ahsante ila mi nimewasiliana na hao watu kuna mtu akainijibu tena kiswahili akaniambia yeye ni mtz anafanya kazi hapo chuoni nimtumie vyeti yangu pamoja na dola 70 kama application fee atanisaidia nimepatwa na wasiwasi kidogo,sijui kama ni muamini au la?
  6. nelugendo

    Je Erolink ni reliable recruitment agency?

    i work under this company ni wanyonyaji balaa nusu ya mshahara wako ni wa kwao kila mwezi mpaka utakapoamua kuacha kazi,then wanalipa kwa masaaa makato yao ni balaa,kama huna pa kwenda kabisa just go but kama unapa kujishkiza for now usipoteze muda wako hawa jamaa ni stress tupu,
  7. nelugendo

    Hivi public relation ,unaweza fanya kazi zipi!?

    we soma tu hiyo coz as long as unaipenda kazi utakuja kufanya yeyote
  8. nelugendo

    Tigo

    kwa customer care ya tigo unapeleka application kwenye kampuni inaitwa infinit communication ipo morocco ila mpaka watangaze nafasi
  9. nelugendo

    linguistic jobs

    hi guys nina degree ya linguistics natafuta kazi hasa za zinaaoendana na writing skills kama vile editing,translation na proofreading wapi ntapata kazi hizi
  10. nelugendo

    kampuni za simu TZ

    unataka ipi?kama ni cutomer care huwa wana peleka tenda kwa recruitment agents
  11. nelugendo

    Tanzania Part Time jobs

    hi,hii website iliyowekwa mbona haina maelezo ya jinsi ya kuapply hizo jobs.then hizi jobs tz zipo kweli?thnx
Back
Top Bottom