Search results

  1. Kungu Kayuki

    Najivunia kuwahi kuongea na Jenerali Warden

    Carcinoma ni wepi makamanda wa shambulio la aibu?
  2. Kungu Kayuki

    Yvonne Chakachaka atamani kukutana na Rais Magufuli. Ampongeza kwa kazi nzuri anayoifanya

    Mpeni nafasi Chakachaka aonane Magufuli na wengine alowataja huyu mama Afrika atoe shukrani zake kwa Yohana Yusuf Wine Locks wetu. Henaha milimo duhu!
  3. Kungu Kayuki

    Najivunia kuwahi kuongea na Jenerali Warden

    Pia mzee Hans Pope mfia nchi aliyeuawa vitani, alikuwa polosi, achana na wanawe walikuwa jeshini kwa kuhaini nchi.
  4. Kungu Kayuki

    Najivunia kuwahi kuongea na Jenerali Warden

    Huyu ni mmoja wakuu wa jeshi katika vita vya Kagera nil I of appreciate na mfano bora. Wengine ni Mayunga, Mboma. Mboma namna alivyokuwa anasanifu ndege za kivita za jeshi, nilimwona uwanja wa ndege Zanzibar akizisanifu ndege angani. Kubwa kuliko yote huko Uganda alipotekwa na ndege za jeshi za...
  5. Kungu Kayuki

    Zitto: Ziara ya Rais Magufuli bandarini haikuwa na jipya, amefanya kazi iliyotakiwa kufanywa na Afisa wa TRA

    Wewe Zito Kabwe tangu Mbowe akutimue Chadema unaonekana kuweweseka huna hoja za mashiko, kwani raisi kufanya sapraiz ateki kwenye taasisi vibaya si moja ya kazi zake? Mkuu wa taasisi ataendeleza alipoishia raisi!
  6. Kungu Kayuki

    Kesi ya masheikh wa Uamsho vs Kesi ya Mauaji ya Lulu: Haki iko Mbinguni

    Saws kabisa kibhojela, hao si mashekhe ni waamusha siasa za waarabu wa zamani wa Oman hapa Zenj wala si wahubiri wa dini!
  7. Kungu Kayuki

    Kesi ya masheikh wa Uamsho vs Kesi ya Mauaji ya Lulu: Haki iko Mbinguni

    EBALE hao viongozi wa uamsho wamefànya mambo mabaya sana Unguja. Kila mikutano yao huishia fujo, amani hutoweka kwa kuchoma makanisa na kuwatia hofu imani nyengine, haya hayasemwi, kwa takuwa zao hao uamusho walimuua padri huko Beit-ras bila sababu yoyote, pia walimpiga risasi padri kwenye geti...
  8. Kungu Kayuki

    Kujinasibu kwa wanasiasa kutoogopa kufa kunaakisi nini?

    Ni wanasiasa hao wanataka kiki tu
  9. Kungu Kayuki

    Miaka miwili ya Dr. Shein na hatma ya CUF, Je jumuiya ya kimataifa imeitupa mkono Zanzibar ?

    KISHADA SIJAELEWA UNATAKA NINI NAKUONA UNATAKA KUTU-REMOTE TUFUATE UNACHOAMINI WEWE
  10. Kungu Kayuki

    Miaka miwili ya Dr. Shein na hatma ya CUF, Je jumuiya ya kimataifa imeitupa mkono Zanzibar ?

    Kishada ni alijojo, subiri 2019 utupe karata yako kwenye polling box using'ang'anie hayo maelezo yako ya hoja za nguvu!
  11. Kungu Kayuki

    Je, ni kweli Sugu alikuwa ni mfungwa wa kisiasa kama alivyokuwa mzee Nelson Mandela?

    Ni mfungwa wa matusi mitandaoni na majukwaani koti la siasa
  12. Kungu Kayuki

    Miaka miwili ya Dr. Shein na hatma ya CUF, Je jumuiya ya kimataifa imeitupa mkono Zanzibar ?

    Jibu ni kwamba CUF wasubiri uchaguzi 2019 hilo ni jibu sahihi kutoka kwa raisi Shein
  13. Kungu Kayuki

    Miaka miwili ya Dr. Shein na hatma ya CUF, Je jumuiya ya kimataifa imeitupa mkono Zanzibar ?

    Kishada unaota ndoto za mchana, alijojo hiyo kishada huyo mhindi wako chuki roho mbaya
  14. Kungu Kayuki

    Miaka miwili ya Dr. Shein na hatma ya CUF, Je jumuiya ya kimataifa imeitupa mkono Zanzibar ?

    Asubiri 2019 atupe tena karata ya ursisi Zanzibar
  15. Kungu Kayuki

    Miaka miwili ya Dr. Shein na hatma ya CUF, Je jumuiya ya kimataifa imeitupa mkono Zanzibar ?

    Kishada ni mawazo yako na Kizibao ni mawazo yake, Kishada usilazimishe mawazo yako ayakumbatie Kizibao. Hata mimi nasema Jamshid au jamaa zake hawatokuja kurudisha ufalme wa kiarabu hapa visiwa vya Zanzibar sahau kabisà bwana Kishada. Jumuia ya Kimataifa haitashughulika na upuudhi wa Maalimu...
  16. Kungu Kayuki

    Tundu Lissu: Kuna mtu ana ugonjwa mbaya wa kutaka kusifiwa muda wote hata kwa mambo ambayo sio ya kweli

    Lisu hana jipya, mwulizeni Dr Kigwangala maana ndo alikuwa daktari wake UGONJWA WA AKILI. Kuna kipindi alikuwa anaunga mkono bungeni anapiga meza kwa mikono yake mpaka inaharibika. Akili za Antipas haziko sawa
  17. Kungu Kayuki

    Kamati ya Bunge ya viwanda na biashara yaagiza Serikali kupiga marufuku mifuko ya plastiki kutoka nje ya nchi

    Naandika kwa herufi kubwa: ZANZIBAR IMEWEZA SANA SANA KUONDOA NA KUPIGA MARUFUKU MIFUKO YA PLASTIKI KAMA SI 100% BASI NI ZAIDI YA 90%. NASHANGAA TANZANIA BARA WAMESHINDWAJE KUPIGA MARUFUKU MIFUKO HII YA PLASTIKI? INACHAFUA SANA MAZINGIRA UTAONA KILA PAHALA MIFUKO HII IMEZAGAA KAMA KWAMBA HAKUNA...
Back
Top Bottom