huyu atakuwa aina ya watu wabishi wale ambao walikuwa hawaelewana na incharge wao. so ikitokea safari hapewi kumkomoa . hivyo kaona asepe tu. pale mzee napajua . dereva tu anamkimbiza daktari wa halmashauri parefu sana.
maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii mbona vitu viwili tofauti. ndio maana wameweka qualifications.. subir ajira za maendeleo ya jamii utaomba. ambapo hata mtu wa ustawi wa jamii hawezi kuomba.
hiyo Ofisi ya Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (NAOT) acha kabisa watu wanakula per diem hadi wanakimbia.hao safari nyingi sana. huyo kwa mwezi kukunja mil 4 kitu kidogo sana. pamoja wanalipa na TGS.
nina mshakaji wangu huu mwaka wa 7 anahudhuria paper za utumishi anafeli . Mungu mwema kapita hii ya OPERATION OFFICER.katika hao 50. na amesoma law. pia hana connection yoyote. naimani atapata nafasi.
Kiswahili kigumu . Wamesema vibali vilivyopokelewa ni 2100 kwa TRA ,265 wahandishi Tamisemi ambazo nafasi hizo zinatarajiwa kutangazwa muda si mrefu ila itategemea na uhitaji wa database yao na nafasi 508 TRC ambao wamepangiwa vituo vya kazi.
Mfano nafasi za kazi TRA zilikuwa 1097 walioitwa written interview jumla ni 13000 hiyo ni ratio ya 1:11. Swala la kufaulu written kwenda oral hajalishi Ratio muhimu ifikie lengo la wahitajika. Mfano nafasi kama ni 100 wakaitwa oral 200 haijalishi watenda tu kupambana huko huko. Nakuangalia...
Mfano nafasi za kazi 100 ,walikuwa shortlisted ni 800 hiyo ni ratio ya 1:8 na waliofaulu ni 200 kwenda oral kati ya nafasi 100 kati ya watu 800 haizuii usahili kuendelea maana yake ile ratio ya 1:8 tayari imefanyika hata kama sio 1:3. Shida wabongo nafasi zikiwa 100 wakaitwa watu 10,000 utasikia...
Hii haiwezekani kuchukua below 49.5 kwa utumishi . Ninavyoelewa ile ratio ni kwenye written tu na sio Oral . Pia jambo hili likitokea litaharibu image ya Utumishi maana itakuwa mara ya pili sasa kwa sahili za TRA. And why ile TRA tu pia kumbuka vijana wametumia gharama kubwa kuanzia written hadi...
Ukifka eneo la tukio unakaguliwa vyeti na kitambulisho, unakabadhi simu zako zote na saa smart kama unayo kwa wahusika kwa kuandika majina yako ,unapangiwa eneo la kusubiri usahili kama chumba maalumu ,zamu yako ikifika unaelekea chumba cha usahili kufanyiwa usahili wa mahojiano ukimaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.