Search results

  1. W

    Clouds 360: Baada ya kejeli za wanachadema mitandaoni, Baby Kabaye atinga sare ya CCM studio!

    Anatafuta cheo hyo. Sasa Iv utasikia uteuz.. anajiandalia mazingira
  2. W

    Maulid Mtulia Vs Salum Mwalimu

    Njaaa Haifai jaman. Dhambi ya usaliti haitamuacha salama mtulia... watu walijitolea hawakulala ghafla kawageuka... eee mungu ebu onesha ghadhabu yako juu ya mtu huyu.. tunapenda matendo yako yajidhihirishe machon kwetu mapema ili watesi wetu wajifunze... onesha ishara zako kama ulivoonesha zama...
  3. W

    Ushauri juu ya manyanyaso kwa wapangaji wa CCM Unguja Kaskazini

    Mwaka Jana mwezi Disemba kamati kuu CCM iliteua tume inayoongozwa na wanachama makini na wenye uweledi ni sio tia shaka.Tume iliundwa ili kuchunguza na kufanya tathmini ya Mali za chama ambazo zimetumika kama revenues. Sasa Rais, kuna uonevu mkubwa unaofanywa na CCM wilaya ya Unguja...
Back
Top Bottom