Search results

  1. K

    Ukiwa muongo usiwe msahaulifu

    Mkapa alituita malofa, mtukufu alituita vilaza sasa hata sijui lipi sahihi
  2. K

    Ukiwa muongo usiwe msahaulifu

    Amani iwe nanyi, Serikali hii ilituaminisha watanzania kuwa imekamata vichwa vya treni bandarini ambavyo havina mwenyewe. Juzi waziri wa uchukuzi mh mbarawa akasema Serikali imenunua vichwa hivyo kwa bei nafuu. Swali langu ni kwamba unawezeje kununua kitu hakina mmiliki? Pesa unamlipa nani? Au...
  3. K

    Hali halisi haipo kama inavyodaiwa na wapiga kelele wa mitandaoni

    Huna jipya kapuku ww. Pumbaf zako
  4. K

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019; Tuwe na tume huru ya uchaguzi

    Ccm ni nani nchi hii mpaka watushikie akili watanzania mamilioni? Njia pekee iliobaki kuilinda amani ya nchi hii inayotoweka ni kudai tume huru ya uchaguzi
  5. K

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019; Tuwe na tume huru ya uchaguzi

    Amani I we nanyi, kwa muda mrefu sasa tangu kuanza mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 kumekuwa na malalamiko kwamba tume ya uchaguzi( NEC) haipo huru. Malalamiko haya yana ukweli ndani yake, kwani tume yetu ya uchaguzi pamoja na wasimamizi wa uchaguzi wamekua wakiteuliwa na MTU mmoja ambae pia ni...
  6. K

    Ni upumbavu kutamani nchi iingie kwenye machafuko huku ukiamini kwamba ww hutokuwa mhanga

    Mkuu acha kupotosha hakuna anaetamani machafuko watu wanahitaji nchi iongozwe kwa mujibu wa katiba, haki na usawa.
  7. K

    Wapinzani Kujiunga CCM: Wanaikubali CCM Imebadilika?, Wanamkubali Magufuli na Kumfuata?, Au ni Njaa Zimewakimbiza?.

    Nimekuelewa paskali hawa wanahofu kukutana na watu wasiojulikana nakupotezwa, kuwa chadema Leo hii inahitaji moyo wa mwendawazimu.
  8. K

    Jenerali Mabeyo(JWTZ): Kuna Viashiria vinavyotishia Usalama wa Nchi. Hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo

    Amani iwe nanyi, nimesikitishwa na viashiria vya jeshi letu la wananchi wa tanzania ( jwtz) kujiingiza kwenye siasa. Kwa mujibu wa katiba yetu ya mwakà 1977 yenye viraka lukuki jeshi letu halipaswi kuegemea chama chochote. Tumeshazoea kuona jeshi la police likijipambanua kuwa wao ni ccm damu...
  9. K

    Aida Olomi na mahabusu wanaouguza vidonda vya risasi Polisi Osterbay bila kupelekwa hospitali, Polisi kuweni na utu

    Matusi ya nini? Shenzi mwenyewe bora mgewaua km mlivyomuua akwilina
  10. K

    Narudia tena: Magufuli si wa kuchezea

    Unapotosha mm ******** ni chaguo la shetani. Ova
  11. K

    Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Akwilina: Padri Mayanga ataka aliyeua awekwe wazi, awaombe radhi Watanzania

    Amani iwe nanyi, cku zote msema kweli ni mpenzi wa mungu nami nasema kweli ya kwamba police ndio waliofanya vurugu tarehe 16/02/2018 na hatimae kusababisha kifo cha dada yangu akwilina. Maana naona zinafanyika jitihada kubwa kupotosha ukweli. Umma wote wa Tanzania wanafahamu ukweli huu kwamba...
  12. K

    Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

    Paskali umenishangaza unajua na umekiri wazi mahakama haipo huru na tunajua majaji wanateulewa na mwenyekiti wa ccm. Sasa chadema wakafungue kesi wapi? Mbinguni mm nawashauri chadema waandae maandamano nchi nzima
  13. K

  14. K

  15. K

  16. K

  17. K

Back
Top Bottom