Search results

  1. M

    Bans

    yes u did. when r u coming home?
  2. M

    Bans

    i havent. you ran away.
  3. M

    Bans

    never mind. shes here now. hip hip hooray.
  4. M

    Bans

    hip hip hooray
  5. M

    Bans

    Have u seen daddys babygal?
  6. M

    Bans

    Babygal...
  7. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Wala hamna ugumu wowote hapo. Case closed.
  8. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    I am still bewildered as to why it was trashed!! For all I know I didn't break any rule(s). All I said in it was I miss BabyGal, who is also a member here. Similar threads in the past have been moved to the Chit-Chat section. But mine wasn't. Now you tell me....
  9. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Watu utadhani wana lie detector tests humu...
  10. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Yaani jamaa anachemka laivu kwenye chaneli zote bila hata ya chenga! Watu kamwe hatuwezi kufanana kimtazamo.
  11. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Kwa hiyo kosa ni hizo mada kukosa mantiki au kosa ni nini hasa?
  12. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Hapa karibu kila kitu ni hiari! Hulazimiki kumshauri mtu kama huna cha kumshauri au kama unaona alichouliza hakina mantiki. Wewe potezea tu na sepa kwingine ambako unaona unaweza ukatoa mchango wako. Kama mada kwako ni ya kijinga basi iache tu. Waachie wajinga waiendeleze. Wewe sepa kwa werevu...
  13. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Hakukuwa na lugha chafu katika hizo mada zote mbili ambazo umezitolea mfano. Na madhali hazikuvunja sheria za JF mimi sikuona kama zina ubaya wowote. Nilizisoma na nilipoona sina la kuchangia wala sikujihangaisha. Niliendelea kwingine tu. The motto of this forum is where we dare talk openly. So...
  14. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Maneno kuntu sana hayo!
  15. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Kuna mada kibao humu ambazo zilikufa tu zenyewe kwa sababu hazikupata wachangiaji. Na si kwamba zilikuwa ni za kipuuzi. Kuna chache ambazo zilikuwa zinahusu utoaji mimba lakini hata kurasa 5 hazikufikisha. Lakini angalia zile zinazofikisha kurasa 15 na kwenda juu. Nyingi yake huwaga hakuna cha...
  16. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Haya malalamiko ya hili jukwaa yamekuwa ya siku nyingi sasa. Kila baada ya muda fulani kupita yanakuwa recycled. Cha kustaajabisha ni pale unapoona baadhi ya hao wanung'uniki wakijisahau na kuchangia baadhi ya hizo hizo mada za kipuuzi. Tena si kwamba wanachangia mambo ya maana. La hasha...
  17. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Hapa naona kuna unafiki tu. Ni vigezo gani vitatumika katika kuamua mada fulani ni ya kipuuzi na isiyostahili kuwekwa hapa jamvini na fulani ni yenye akili na hivyo kustahili kuwekwa jamvini ili maalwatan wa hapa MMU waichambue, waijadili, na wapige soga zao za nani anampenda nani na nani ni...
  18. M

    Warning, Disturbing Images: Je umeshawahi kutoa mimba?

    I hate abortion with all my heart.
  19. M

    Once a stranger...

    I'm sure she does but she likes to play hard to get.
Back
Top Bottom