Search results

  1. Tushfutshtar

    Kama mpenzi/mke/mme wako angekuwa gari angekuwa gari ya aina gani?

    Huwezi kulinganisha mtu na vitu vya vyuma acha utoto! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Tushfutshtar

    Ukiona mwanaume unasumbuliwa sana na mwanamke jiangalie vizuri itakua hata wewe ni mwanamke

    Hujakosea, nimeiga maana ina kishindo kuliko ya wanaume wa Dar. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Tushfutshtar

    Ukiona mwanaume unasumbuliwa sana na mwanamke jiangalie vizuri itakua hata wewe ni mwanamke

    Nhiiiiiiiiiiiiii[emoji75][emoji75] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Tushfutshtar

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Nime copy na Ku paste mkuu! Sijataka kuremba sana!
  5. Tushfutshtar

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Jamaa; Unanikumbuka? Dada,; We kaka jmn tulimaliza kipind kile me ciitaj mchumba Jamaa; jamani nakupenda tafadhar Dada; Asant Jamaa; N mda mrefu sana nimevumilia japo Niko mbali miaka imepita bado sijakupoteza akilini usije nitesa my dear! Dada; Pole, Tafta mwngne km...
  6. Tushfutshtar

    Special Thread: Walioachwa tuliwazane hapa

    Huenda nyuma ya kuchoka kuna kilichomchosha! Kwa sasa hawezi kukuambia kwa kuwa wewe sio rafiki yake tena! Pole.
  7. Tushfutshtar

    Special Thread: Walioachwa tuliwazane hapa

    Pole sana njemba! Sababu ya msingi IPO kwake mkuu tena inaweza kuwa ya secondary au chuo kabisa,wewe ndo hujui sababu lakini IPO ! Cha msingi ungetafuta kujua 7bu ni nn ili ukija ingia relationship nyingine usikosee kosa lile lile. But kwa sasa na wewe mkatae ili mkataane na yeye itamuuma...
  8. Tushfutshtar

    Huyu msichana nampenda ile sijui nimekosea wapi?

    Nmekupata ndg. Ahsante sana.
  9. Tushfutshtar

    Huyu msichana nampenda ile sijui nimekosea wapi?

    Mm wa hapa hapa kwa Nyerere mkuu. Nambie!
  10. Tushfutshtar

    Huyu msichana nampenda ile sijui nimekosea wapi?

    Hahahahah duuuuh ila nimekuelewa sana Jamaa_Mbishi. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  11. Tushfutshtar

    Huyu msichana nampenda ile sijui nimekosea wapi?

    Shukrani sana. Maana huenda ni kweli au sio kweli kwamba hayo ndiyo maisha yake. Nitakuwa lakini sana kwenye hili.
  12. Tushfutshtar

    Huyu msichana nampenda ile sijui nimekosea wapi?

    Nitulieje Mr. Kabanga. Niko ndani ya kutafuta uhalisia WA maisha anayoyapenda ya kimahusiano ya huyu Dada. Nisaidie ushauri wako.
  13. Tushfutshtar

    Huyu msichana nampenda ile sijui nimekosea wapi?

    Aisee,ahsante sana kwa ku-share na mm experience kama hiyo! Nimetoka na kitu hapa bila shaka kitanisaidia sana. Ahsante sana ndg Dharra.
  14. Tushfutshtar

    Huyu msichana nampenda ile sijui nimekosea wapi?

    Haahaha bonge la point,lakini c unajua kuna time kidogo kwa ajiri ya assessment maana kizazi chetu hiki n shida sana.
  15. Tushfutshtar

    Huyu msichana nampenda ile sijui nimekosea wapi?

    Kweli ee? Sidhani kama nimekosea!
  16. Tushfutshtar

    Huyu msichana nampenda ile sijui nimekosea wapi?

    Dash hahahahah basi kila mtu na akili zake aisee yani kuna wanawake wana misimamo sana wanataka hadi ndoa,sasa hswa WA aina hiiwao tusemeje?
  17. Tushfutshtar

    Huyu msichana nampenda ile sijui nimekosea wapi?

    Ooohh maana ake nimechelewa kufanya taratibu za kumuweka ndani! Kama hivo nimekuelewa aisee. Mwanza kuona kosa langu lilipo. Ahsante sana.
Back
Top Bottom