Search results

  1. Pweza Boy

    Rwanda tulijazana coaster 7, South imekuwaje?

    Hivi huwa mnatumia Makalio kufikiria au?? Unafananisha Tz-Rwanda na Tz-South Afrika...?? Mbona hauhoji kwanini Simba walienda mabasi mawili Zambia lakini Egypt hawajapeleka hata moja.?? Upuuzi mtupu HUNA AKILI
  2. Pweza Boy

    Kauli mbiu iwe " wote mpaka fainali inawezekana"

    Shida ya Tanzania tunaacha kuandaa timu tunahamia kwenye kauli mbiu na hamasa. Kauli mbiu yako inacheza namba ngapi?
  3. Pweza Boy

    Kwahiyo GSM ndio alitakiwa amkabe Mbangula?

    Naona mashabiki hoyahoya wa Simba wanalalamika eti GSM anaharibu ligi yetu kwa kudhamini klabu nyingi. Baada ya kushindwa uwanjani mabwana wale wamehamia kwa GSM kumlaumu anadhamini timu nyingi.... wakati SportPesa anadhamini Simba, Yanga, Namungo na Singida mbona hukusikia hizi kelele...
  4. Pweza Boy

    Tusipokuwa makini na kujiandaa vizuri huenda Machi 2, 2024 wana Simba SC tukachekwa sana

    Kumekucha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. Pweza Boy

    F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

    REFA NI "TATU MALOGO" ushindi ni LAZIMA
  6. Pweza Boy

    Serikali iangalie upya maternity leave badala ya miezi 3 iwe miezi 5 au 6

    Mama akijifungua apewe mwaka mmoja wa kulea mtoto wake. Habri ya miezi 3 au 6 ni kuwatapeli watoto wakose kunyonya vizuri
  7. Pweza Boy

    Goli kipa Manula Mechi tatu (3)magoli kumi (10)

    Subiri kwanza wacongo watupakie mkongo ndio utahesabia vizuri. Atafungwa goli 20 huyo ndani ya mechi 5
  8. Pweza Boy

    Kuna kitu tunafichwa Simba SC kuhusu hizi sajili

    Yanga wana PA COME, Mangungu akaona isiwe taabu amewaletea PA JOBE bado hamna shukrani?
  9. Pweza Boy

    Ngushi bye bye Yanga

    Simba na Yanga hazijawahi kutoa mchezaji kwa mkopo. Huyo AMEFUKUZWA KIJANJA
  10. Pweza Boy

    Jemedari Said: Mpira ni mchezo wa makosa

    Si huyu jemedari makipa waliokua wanafungwa na Aziz Ki magoli ya faulo alikua anasema ni wazembe! Inamaana hakujua kuwa mpira ni mchezo wa makosa?
  11. Pweza Boy

    FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

    Kumbe Simba wamefanya rotation leo? Hakika KICHWA KIPUMBAVU NI MZIGO KWA SHINGO
  12. Pweza Boy

    CEO wa Ihefu Biko Scanda atimuliwa kazini

    Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kumpa timu yake huyo Mpumbavu
  13. Pweza Boy

    Kikosi changu cha kufungia mwaka 2023 Ligi Kuu ya NBC hiki hapa

    1. Diarra 2. Yao 3. Kibabage 4. Bacca 5. Inonga 6. Aucho 7. Pacome 8. Aucho 9. Dube 10. Aziz 11. Feisal
  14. Pweza Boy

    UTABIRI: Katika michezo 4 ijayo ya Ligi, Simba SC itaambulia alama 5 au pungufu kati ya alama 12

    Jografia ya nchi yetu ndio inafanya mtu acheze game 3 mfululizo ugenini au nyumbani. Mfano una game na Prisons Mbeya unataka urudi Dar badala umalizane na Ihefu kabisa ?? Au una game na Kagera Sugar lazima umalizane na Mashujaha kabisa. Huwezi kwenda Kagera then urudi dar halafu uende tena Kigoma
  15. Pweza Boy

    Dirisha Dogo: Nawakumbusha, usajili sio fasheni..

    Umeshindwa kuishauri timu yako inayookoteza wachezaji na kivunja mikataba kilasiku mwisho ni faini na kufungiwa na FIFA kilasiku??
  16. Pweza Boy

    Gamondi Gamondi Gamondi nakuita mara tatu

    Nkane?? Yupi?? Aliwahi kuwa hatari mechi ipi?? Weka na hizo mechi ambazo "useless nkane" amewahi kuwa bora tukukaange vizuri
  17. Pweza Boy

    Aliyeona CHADEMA wakitoa misaada kwa wananchi wa Hanang kama walivyofanya CCM naomba aniwekee hapa picha au video yake

    Hivi mfuko wa Taifa wa maafa upo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu au chini ya Chadema??
  18. Pweza Boy

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

    We unadhani akina Pacome, Tchakei, Feysal wanacheza ligi ya Under 20 ?
Back
Top Bottom