Ya paka ninayo nilitaka Gsm ya2017 all in one tool.nliidownload then nikafanya installation lakini haifanyi kazi ndiyo maana nikaomba mwenye NATO inayopga kazi anisaidie hata akinipa link ambapo nitaipata inayofanya Nazi nitashukuru
Maana kuna baadhi ya notes nazihtaji then niongeze na hints zangu ili nitengeneze notes .kuna mtaalamu Mwenye software ya kuweza Ku copy na Ku paste thl notes maana inaoneka wamedisable right click ndiyo maana inagoma kukopy na kupaste
Wataalamu wa Jf naomba mnisaidie jinsi ya kukopi na kupaste Thl notes ili niweze kuzisoma muda wote na kuongeza hints ambazo zranisaidia kufundishia.nmejaribu kucopy na kuzipaste lakini inaonekana wameziwekea kizuizi.naomba msaada wana jamii forums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.