Search results

  1. Mwayinga Patrick

    Uchaguzi 2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki

    Nothing you can do to stop this movements and whay can`t you try to comments about the US election
  2. Mwayinga Patrick

    Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

    Tusidanganyane bhana hebu tuwekee hiyo ratiba hapa na uthibitisho wote kama ulivyo
  3. Mwayinga Patrick

    Uchaguzi 2020 Geita: Nyumba ya Mgombea Ubunge Chato wa CHADEMA Massai, yadaiwa kuchomwa moto na kubomolewa

    Tukiendekeza mambo haya ndugu zangu nchi haitakwenda kabisa yaani just imagine kuna watu walikuwa wanamipango ya kuchoma hata nyumba yao wenyewe ili waopate populality kwa society nawakumbusha kuna maishsa baada ya kampeni.
  4. Mwayinga Patrick

    Wana CCM wote waliostaafu wamepewa "mavyeo" isipokuwa Membe, Kagasheki na Mwandosya. Hapa sisi wenye akili tumeelewa!

    Membe asubili 2025 Kwan mwenyekiti hawezi kukubali kung'oka Na pia akitaka amfuate bosi wake Mheshimiwa Waziri mkuu mstaafu bwana lowasa kule uchagani nako kuna shida nani agombee kati ya lowasa, nyalandu&sumaye sasa naye akajiongeze huko labda lakini kwa sasa mmmmmh 2020 Magu kama kawa...
  5. Mwayinga Patrick

    Kampuni ya MeTL "Mo Dewji" yakanusha habari ya kufunga Viwanda vyake tarehe 20 Oct 2018

    Nazan hapa kama unajua serikali ndio wamemteka bas toa ushahidi wapelekee familia yake upate 1b yako uendeleze maisha yako just tuzungumze kwa facts kama unajua ni serikali bas wasaidie familia yake ambao mpaka sasa hawajui aliyemteka Kuhusu acacia nazan wewe unamawazo mazuri sana kuwa...
  6. Mwayinga Patrick

    Tofauti kubwa ya CCM na upinzani ni, CCM ina wafia chama lakini upinzani wana wafia viongozi

    Bado swali letu la katiba mpya halijapatiwa majibu au katibu wa wizara tufikishie kilio chetu wananchi juu ya katiba mpya tafadhali
Back
Top Bottom