Search results

  1. KAMALELA

    BBC na uchochezi, itafutwe namna idhibitiwe

    Umenena vyema mkuu [emoji106][emoji106][emoji106]
  2. KAMALELA

    DSM: Fly over ya TAZARA kuzinduliwa na Rais Magufuli mwezi September, ujenzi wafikia 95%

    Jamani mnatupigia kelele khaaa... Tumewaelimisha siku zote tofauti ya flying over na intersection lakini hamtaki kuelewa. Acheni kuwalisha matanga kichaa watanzania wasioelewa
  3. KAMALELA

    Kushindikana kwa maandamano ya Mange kumeacha maswali gani?

    Watu hawana pa kusemea anapotekea mtu anawasemea basi huyo ndio huwa mkombozi wao. Kama media zingeachwa kuwa huru Mange asingejulika na mtu. Unyanyasaji na uonevu wa serkali hii wataibuka akina Mange wengi sana. Mi nafikiri busara yako hii ungeelekeza kumshauri yule PIMBI wa magogoni na sio...
  4. KAMALELA

    Kushindikana kwa maandamano ya Mange kumeacha maswali gani?

    Hakuna hoja ya kujibiwa hapo maelezo mengi lakini huna jipya... Watu wanauawa Kila kukicha Halafu unasema Mange anaondoa sifa nzuri ya TZ, ipi hiyo? Wakati mwingine mkaage kimya huyo malaika wenu mkuu keshaichafua nchi yetu.
  5. KAMALELA

    Tetesi: Mpango mchafu wa Mange Kimambi na Freeman Mbowe wavuja

    Kaka Ni huyo mpuuzi mmoja pekee, hapa maandamano Kama kawaida niamini mimi sisi watanzania tuishio US tunakutana tarehe 25 nje ya ubalozi wetu.
  6. KAMALELA

    Mwinjilisti: Barua kwa Rais Magufuli, kwanini umejiandaa kumwaga damu za watanzania wasio na hatia?

    Kama vichaa wanaufahamu mkubwa kuliko wazima wa akili, basi, Taifa hili linahitaji vichaa zaidi kuliko wewe uliye mzima. Halafu wakati mwingine piga kimya mwanangu... jamaa yenu hasafishiki amejaa damu za watu.
  7. KAMALELA

    Taifa ni nini? Je kuna Taifa lilioendelea bila wapinga maendeleo?

    Maendeleo katika Taifa hili yataletwa na viongozi wazalendo na wenye dira ya tuelekeako, viongozi watakao tuleta pamoja na sio kutugawanya. Ni kwa bahati mbaya Sana katika karne ya 21 kutaka kuwafunga watu midomo ili utawale utakavyo wewe bila kufuta sheria IT'S A BIG NO sio kizazi hiki. Mazuri...
  8. KAMALELA

    Tanzania inahitaji zaidi kupambana na umaskini kuliko demokrasia

    Sababu zilizonifanya kujiunga JF wakati ule ilikuwa ni kupata mawazo mapya na kujifunza kwa wanajua zaidi, lakini sasahivi yameibuka MAZWAZWA (in zitto's voice) yanamwaga pumba mwanzo mwisho. Kwani lazima kupost!? Piga kimya mwanangu
  9. KAMALELA

    Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

    Wakati mwingine mkaage kimya, huyu jamaa yenu hasafishiki anadamu za watu mwili mzima. Piga kimya mtu wangu
  10. KAMALELA

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Na vipi ule waraka wa kanisa lake, je, nao pia Ni upande wa Lowassa? Nyie ndio mnamfanya huyo JPM kuvimba kichwa. Matatizo yaliyopo hapa nchini kwasasa Ni zaidi ya ulichoandika
  11. KAMALELA

    Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

    Ni Salama kwa wanufa Ni Salama kwa wanufaika wa mfumo huu
  12. KAMALELA

    Hivi mtanzania anayeishi Marekani, Ujerumani au Uingereza anajua shida za masela wa Pandachigiza?

    Ni nani asiyejua kwamba hizo nchi ulizotaja ndio zinazoisaidia TZ kuanzia kula, kulala na matibabu!? Matangazo mengi kwa radio ni msaada wa watu wa marekani... Sasa kama wanatoa msaada wanashindwaje kujua hali zenu?tunakukaribisha tarehe 26-04-2018 jitokeze kupaza sauti dhidi ya ukandamizaji
  13. KAMALELA

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Hivi huko Lumumba wenye akili Sawa wameisha kabisa? Aliyekuambia ni kinyume cha sheria nani? Wasingezuia maandamano nani angekufa? Mtutu wa nini kwa watu wasio na silaha?
  14. KAMALELA

    Zitto Kabwe: Uhuru Wangu wa Maoni Ulilenga Kulinda Uhuru, Haki, Hadhi na Madaraka ya Bunge

    Mkuu asante sana kwakumjibu huyu kiumbe wa shetani, ameokoteza Maneno ya mtaani nakuyaleta humu. Naomba usimjibu tena maana hata kaa aelewe Kama ameshindwa kuelewa alipokuwa Marekani wewe hutoweza kumuelimisha
  15. KAMALELA

    Prof. Kabudi awe wa mwisho.Tufumue vyuo vya serikali vimehodhi ujinga ndani ya Elimu

    Ben Saanane aliuza swali kama hili, lakini badala ya kujibiwa wakamteka mpaka leo hajulikani alipo. Tuna viongozi wa ajabu sana ukiwakosoa unaitwa mchochezi, usipowashangilia unaambiwa sio mzalendo. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. KAMALELA

    Sheikh Ponda: Hali ni mbaya sana, mauaji ya kutisha yanaendelea nchini na Serikali ipo kimya

    Akitokea mtu akakemea hili ataitwa mchochezi na si mzalendo, inaelekea Kuna kundi maalum lipo kutumaliza raia Wema ili wapate kutawala bila kuhojiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  17. KAMALELA

    Serikali yabanwa sakata la Bombardier kuzuiwa Canada

    Maoni butu kayatolee Lumumba kwa madalali wa umasikini toka uhuru Sent using Jamii Forums mobile app
  18. KAMALELA

    Serikali yabanwa sakata la Bombardier kuzuiwa Canada

    Ushakuwa muhariri wa JF kujua lipi liongelewe na lipi lisisemwe au headline ikae vipi. Tuliotaka kujua mtoa mada anasema nini tumejua, kazi kwako kuchangia au kukaa kimya Sent using Jamii Forums mobile app
  19. KAMALELA

    TAFAKURI: Ni "Diaspora" Gani Serikali ya Magufuli Inawataka na Kuwapenda?

    Chunguza sana wanaopinga duo citizen Ni walewale wanafurahia watu wakinyang'anywa mashamba na majumba... Sent using Jamii Forums mobile app
  20. KAMALELA

    TAFAKURI: Ni "Diaspora" Gani Serikali ya Magufuli Inawataka na Kuwapenda?

    Kwa bahati mbaya sana wachangiaji wengi wamejikita kwenye chuki, fitna na dhihaka. Walio wengi kwenye mada hii Ni wale walikosa VISA au hawana uwezo wa kusafiri nje ya nchi na wenye uwezo huo ni waoga kujaribu au hawajui waanzie wapi. Diaspora wa ulaya na Marekani wanachukiwa na watanzania...
Back
Top Bottom