Search results

  1. M

    Utani na Msichana ninaye fanya naye kazi unataka kunivunjia ndoa yangu

    Kuna msichana nafanya naye kazi katika kampuni moja. Sasa tumezoea kweli kutaniana na kuitana majina ya Kimahaba huku kukiwa hakuna uhusiano wowote wa Kimapenzi. Jana saa nne usiku nikiwa nafanya kazi zangu kwenye kompyuta sebuleni na simu ikiwa chumbani akanitumia ujumbe unaosomeka "Honey, its...
  2. M

    M-PESA na Tigo-pesa zinavyowabana wanaume wasishindwe kukwepa kupigwa mizinga

    Siku hizi ukiwa na kisingizio cha kukwepa kupigwa mzinga na wapenda kuomba hela (mabinti) kwa sababu ya kuwa mbali (but within Tanzania) utasikia, "Nitumie basi 20,000/, 50,000/=, 100,000/=, etc. kwa M-PESA/TIGO-PESA, nasubiria sasa hivi honey wangu, mwaaaa, i love you baby". Teknolojia hiyo...
  3. M

    M-pesa na Tigo pesa zinavyowabana zinavyowabana wanaume washindwe kukwepa kupigwa mizinga

    Siku hizi ukiwa na Kisingizio cha kukwepa kupigwa mzinga na wapenda kuomba hela (mabinti) kwa sababu ya kuwa mbali (but within Tanzania) utasikia, "Nitumie basi 20,000/, 50,000/=, 100,000/= kwa M-PESA/TIGO-PESA, nasubiria sasa hivi honey wangu, mwaaaa, i love you baby". Teknolojia hiyo jamani.
  4. M

    Njaa ya Mabinti Bwana

    Hivi jamani ni kwa nini Mabinti/Wasichana huamini kuwa rafiki wa Kiume ni mtu wa kupigwa Mizinga kwenye kila kitu, kuanzia vocha, simu, mavazi, shida zingine za uongo, n.k? Ni kwa nini ukitoka naye anaagiza vitu vya thamani wakati hajui ulicho nacho mfukoni na wakati huohuo mfukoni anakuwa hana...
  5. M

    Mabinti wanavyowafukuza Wapendwa Watarajiwa

    Hivi majuzi kati nilikutana na binti mmoja club fulani hapa jijini. Tukachati hapa na pale, then tukapeana contacts za simu. Nikakaa siku kama tatu hivi, nikam-text, badala ya kujibu akaanza kunibip. Nikampigia simu, tukazungumza kidogo ikiwa ni pamoja na kuweka mihadi ya kukutana jioni ya siku...
Back
Top Bottom