M-pesa na Tigo pesa zinavyowabana zinavyowabana wanaume washindwe kukwepa kupigwa mizinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M-pesa na Tigo pesa zinavyowabana zinavyowabana wanaume washindwe kukwepa kupigwa mizinga

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mangi Moshi, Jun 28, 2011.

 1. M

  Mangi Moshi Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Siku hizi ukiwa na Kisingizio cha kukwepa kupigwa mzinga na wapenda kuomba hela (mabinti) kwa sababu ya kuwa mbali (but within Tanzania) utasikia, "Nitumie basi 20,000/, 50,000/=, 100,000/= kwa M-PESA/TIGO-PESA, nasubiria sasa hivi honey wangu, mwaaaa, i love you baby". Teknolojia hiyo jamani.
   
Loading...