Search results

  1. Optimus_Prime

    Kitu gani ulinunua kisichozidi laki mbili na kikabadilisha maisha yako?

    Jaman mim nna swali kwenu nyinyi wana jamvi, hivi ni bidhaa(kitu) gani ulichonunua kisichozidi thamani ya laki 2 lakini kiliyabadilisha maisha yako au kilikusaidia kwa kiasi ambacho huwez kusahau.
Back
Top Bottom