Search results

  1. Kudo

    Mtegoni.

    Ikiacha kupostiwa ndo mnajitokeza, ikiwa inapostiwa mnapita kimyakimya!
  2. Kudo

    Mtegoni.

    Tuwepo hapa. Baadae kidogo tunaendelea
  3. Kudo

    Mtegoni.

    Wengineo, wale mnaopenda riwaya za ujasusi na upelelezi, mikasa ya Zuki Gadu na jasusi Honda, Zedi wimba na Koplo Mina... Hapa chini ni orodha ya riwaya zao, unaweza kunifuata WhatsApp na uchaguzi wa idadi ya riwaya unazotaka na kiasi ulichonacho, tukikubaliana unalipia, unapata riwaya kwa njia...
  4. Kudo

    Mtegoni.

    NB; riwaya hii haitauzwa popote, itawekwa hapa kwa kadri ya kudra za Mungu. Wale wanaopenda kulalamika alosto na lugha nyingine dhaifu, niwakumbushe mapema, pengine Uzi huu hautawafaa kwa sababu, utaenda kwa kadri ya kupatikana muda wangu binafsi. Mnaotunga kuibiwa na kutapeliwa, niwaombe...
  5. Kudo

    Mtegoni.

    ...
  6. Kudo

    Sonona! imenielemea. Msaada!

    .....
  7. Kudo

    Kamanda wa Zamu.(Mwanajeshi hatishii, hutenda)

    Shija Mbitiyaza Lupandagila Masalu alikuwa amesimama katikati ya benki akiwatizama watu aliokuwa amewakusanya pamoja, aliwaona namna walivyokuwa wamejawa na hofu kubwa na wengine tayari walikuwa wameharibu hali ya hewa, alitabasamu kinafiki huku akipiga hatua kumfuata Joseph ambae bado alikuwa...
  8. Kudo

    Kamanda wa Zamu.(Mwanajeshi hatishii, hutenda)

    ‘UKILETA UJANJA NALIPUA BOMU.’ Joseph Mkweche aliyasoma hayo maneno na akajikuta akitetemeka kwa hofu. “Naouomba mfuko wangu..” Shija Mbitiyaza Lupandagila Masalu aliunguruma kwa kujiamini huku akimtazama usoni kwa namna ya kumaanisha alichokuwa anasema. “Niweke shilingi ngapi?” Joseph aliuliza...
  9. Kudo

    Kamanda wa Zamu.(Mwanajeshi hatishii, hutenda)

    RIWAYA; KAMANDA WA ZAMU. NA; BAHATI K MWAMBA. WHATSAPP; 0658564341. 1. Alikuwa akitetemeka mwili na roho, jasho lilimmwagika hadi kwenye ncha za vidole vyake vya miguu na mikono, miwani aliyokuwa ameivaa ni kama haikuwa ikimsaidia kwa lolote kwa sababu hakuwa akiona mbali...
  10. Kudo

    Mwiba wa chuma(Zuki Gadu)

    “Mi si kahaba? Haya njoo uniwekee utakacho kinguni wa kigeni wewe...!” Montana alisema huku akijiachia kihasarahasara mbele ya Malima ambae alikuwa ameiva kwa maumivu, macho yalikuwa mekundu na mishipa ilimtutumuka. “Unataka nini wewe?” Malima aliuliza. “Nambie Dadie ni nani na nampataje.”...
  11. Kudo

    Mwiba wa chuma(Zuki Gadu)

    kufikiria cha kufanya lakini kila alichojaribu kuwaza hakuona kama kutakuwa na msaada kwake, kila kitu kilikuwa kigumu kwake kukabiliana nacho kwa wakati huo. “Hapa si mahali pa kukaa...” Aliwaza na kurejea kuufungua mlango, lakini bado alikuwa katikati ya maji mengi ambayo hakujua yalitokea...
  12. Kudo

    Mwiba wa chuma(Zuki Gadu)

    Daudi Nyuso alikuwa kwenye vazi lake la suti ya bei ghali kutoka Uturuki, sigara mkononi na kikombe cha kawaha mezani. Miguu yake aliibebanisha na mgongo wake aliuegemeza kwenye sofa la sufi, macho yake yakilitazama dari. Alikuwa anatafakari jambo kuhusu mgeni aliyekuwa kwenye moja ya vyumba vya...
  13. Kudo

    Mwiba wa chuma(Zuki Gadu)

    3. Zuki Gadu alirejea kwenye hoteli aliyofika ikiwa ni saa sita na dakika kadhaa usiku. Aliingia chumbani kwake kwa tahadhari kwa kuwa hakutaka kujiamini ikiwa alikuwa kwenye mawindo na asingelishangaa hata yeye akiwa anawindwa. Alikikagua chumba chake kwa umakini mkubwa hadi alipojihakikishia...
  14. Kudo

    Mwiba wa chuma(Zuki Gadu)

    Gachuma baada ya wafanyakazi wake wote kuripoti kwake, alibaki peke yake na maburungutu ya fedha zilizopatikana kwa njia mbalimbali, alizihesabu kwa umakini ili kuzihakiki. Alipohakikisha hesabu ziko sawa alichukua kiswaswadu chake na kuzitafuta namba za afisa mmoja ambae kituo chake cha Polisi...
  15. Kudo

    Mwiba wa chuma(Zuki Gadu)

    2. Jua la utosi lilimkuta akiingia ndani ya jiji la Entebe, kilomita nyingi kutoka mpakani mwa Tanzania na Uganda. Alikuwa ametumia usafiri wa aina tofauti tofauti kabla ya kuingia Entebe huku mara nyingi akiwa ametumia gari binafsi zenye kasi na ambazo mara chache hukutana na vizuizi vya...
  16. Kudo

    Mwiba wa chuma(Zuki Gadu)

    2. Jua la utosi lilimkuta akiingia ndani ya jiji la Entebe, kilomita nyingi kutoka mpakani mwa Tanzania na Uganda. Alikuwa ametumia usafiri wa aina tofauti tofauti kabla ya kuingia Entebe huku mara nyingi akiwa ametumia gari binafsi zenye kasi na ambazo mara chache hukutana na vizuizi vya...
  17. Kudo

    Mwiba wa chuma(Zuki Gadu)

    Hata uhakika huna. Punguza porojo aisee... RIWAYA zangu hazieleweki unafungua Uzi wa Riwaya zangu ili ufaidike kitu gani ndugu. Punguza utoto. Yaani riwaya ya miaka mitatu nyuma ambayo hakuna aliyewahi kuinunua akaikosa Leo uibuke na hoja mufilisi? Lete uthibitisho wa jumbe nisizojibu. Punguza...
  18. Kudo

    Mwiba wa chuma(Zuki Gadu)

    Hao watatu tayari tatizo Lao limetatuliwa na limejitokeza kwa bahati mbaya kwa siku sita baada ya wao kulipia. Wewe unachuki binafsi ambazo sijui umezitolea wapi. Kila Uzi nikipandisha lazima ujitokeze. Hiyo zamani unadai riwaya gani? Ulilipia shilingi ngapi., Ulihitaji riwaya gani ukaikosa...
  19. Kudo

    Mwiba wa chuma(Zuki Gadu)

    “Ni nani watu hawa? Lakini sauti hii si mgeni masikioni mwangu, ni nani mtu huyo?” Alijiuliza huku akirejea kuitazama simu yake ambayo haikuacha rekodi yoyote ya mtu aliyepiga kwa namba fiche. “Dodii! Aagh!” Aliunguruma kwa ghadhabu huku akishindwa kuelewa kitu gani kilitokea hadi akajikuta...
  20. Kudo

    Mwiba wa chuma(Zuki Gadu)

    Masikio yake yalinasa sauti za vicheko vya watu kwa mbaali sana, lakini kadri muda ulivyozidi kwenda zile sauti za soga na vicheko zilizidi kuwa karibu zaidi na ngoma za masikio yake. Akatikisa vidole vya mikono yake, akajisikia, akafumbua jicho lake moja na kutazama mazingira aliyokuwepo...
Back
Top Bottom