Search results

  1. L

    Msaada kuhusu namna ya kuhama chuo

    Nimechaguliwa chuo cha kairuki kozi ya MD, mkopo nimepewa wa meal and allowance bas, nimekwama ada maana ni million 7. Je naweza kwenda nikalipa kidogo then nifanye transfer ya chuo kingine, je huwa inawezekana kuhama.
  2. L

    Msaada wa chuo

    Mbaka sasa sijapata chuo,third round mbona sipaoni
  3. L

    Msaada wa kozi gani ya kuomba

    Mimi nimemaliza PCB,Nina div 1.8 nimeomba MD nimekosa,ni kozi nyingine nzuri naweza kuomba kwa point niliyonayo?
Back
Top Bottom