Search results

  1. T

    Am addicted to these types of women!!!!

    Jamani wana JF mimi nina tatizo moja kubwa maishani mwangu kuhusu wanawake na matatizo hayo ni kama ifuatavyo; Kila nikitafuta mwanamke najikuta niko na mchagga, matokeo yake nimejikuta natembea na wanawake wa kichaga kibao Killa mara najikuta ninapendana na wanawake wenye mzigo mkubwa i mean...
  2. T

    Am psychologically affected, nifanyeje?

    Wee Lizzy, nisaidie mpaka wapi? nafua, napika alipokuwa mjamzito nadeki, usiku nambadilisha mtoto akijichafua sasa nisaidieje? Ok. otherwise good advise, ila hapo bado haijakaa sawa mpaka nifanyaje ndo aelewe.
  3. T

    Am psychologically affected, nifanyeje?

    Habari wana JF, Siku hizi, japo kuna imani za kidini kuna wanaoamini kuwa ni vigumu kufunga pingu za maisha bila kuonja tamu ya asali. Siku zote Mimi nimekuwa miongoni mwa wanaopingana na huu mtazamo. Nimeishi maisha yangu yote kwa misingi ya malezi bora ya wazazi wangu na imani yangu kuwa ni...
  4. T

    Jamani hii kali haijawahi tokea

    wapendwa wanablog, naomba msaada wenu, Kuna shost yangu kakutwa na jambo hili wadau mnashaurije? Huyu shost wangu alikuwa na jamaa yake, but with time, penzi lao likawa linayoyoma. Jamaa yake alikuwa na mkewe ila akamficha huyu kimada wake, huku huyu wa nje akijua anaolewa. Jamaa alikuwa akimpa...
Back
Top Bottom