Search results

  1. Ally Kanah

    Uchaguzi 2020 TEF yamaliza Mgogoro wa TBC na CHADEMA, wapeana Mkono

    Unapambana kinyama...kila bandiko uko....unahitaji tunzo aseeee....
  2. Ally Kanah

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

    Unahangaika sana aseee....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Ally Kanah

    CCM haistahili hata sekunde moja ya kubaki madarakani

    Ndoto za mchana kumbe zinakuwa nzuri eeee Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. Ally Kanah

    Tetesi: Kinana agoma kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM

    CCM CHAMA LAO....MANYUMBU WAMESAHAU WANACHOPIGANIA SASA WOTE TUMEWAGEUZISHA WAMEHAMIA KWENYE MJADALA WA KINANA NA MAKAMBA MKIJA KUSANUKA UCHAGUZI HUU..... Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. Ally Kanah

    Kwa Nini clip hizi zimesubiri tamko la Makamba na Kinana?

    Ha ha ha mkuu nimecheka kwa sauti kubwa kinyama....UJUE KUWA NA AKILI ZA NYUMBU SIO SHUGHULI NDOGO
  6. Ally Kanah

    Stiegler's Gorge una manufaa machache kitaifa kuliko faida, CCM walitakiwa kujibu hivi vyanzo vya umeme kwanza huu mradi una ufisadi

    Kwendraaaaaa, wewe unaeza pinga hata mama ako kwamba sio Mama ako, unaeza pinga mpaka jinsia yako.....kwendraaaaaaa
  7. Ally Kanah

    Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Jitayarishe kuolewa mara baada ya TOBO kuingia Magogoni
  8. Ally Kanah

    CAG na ukaguzi wa ununuzi wa ndege na ujenzi wa Chato Airport

    Wale waliokuwa wantumia kwa idhini ya BUNGE walifanyaga nini hivi?? Embu tutajie hata mambo mawili ya msingi waliyoyafanyaga....
  9. Ally Kanah

    Dhahabu ya mabilioni na mamilioni ya shilingi taslimu yakamatwa Mwanza!

    Umezaliwa kupinga tu....ila ungesikia vimetoroshwa bila kukamatwa basi masaburi yako ungeyafanyishia sherehe leo
  10. Ally Kanah

    Kwako Tundu Lissu, bwenini Gasthuisberg, Leuven, Ubelgiji

    Mkuu utaachaje kutukanwa na watu waliokariri?? Si unajua madhara ya kukariri?? Ukibadilishiwa tu swali lazima upanic
  11. Ally Kanah

    Kwako Tundu Lissu, bwenini Gasthuisberg, Leuven, Ubelgiji

    Ni Pumba kwa sababu umekaririshwa....endeleeni kukarishwa wakati nchi inasonga mkija kustuka kumekucha
  12. Ally Kanah

    Bashiru Vs Membe: CCM yatoa msimamo wake kuhusu suala hilo

    CCM itatawala milele kwa namna hii ya upinzani kukataa mauno kwa kila ngoma inayopigwa na CCM....hapa ni mipango ya CCM kuwatoa wapinzani kwenye hoja ya URAIS 2020 na WAPINZANI walivyo MAZUZU wameacha kila kitu sasa wamebagi kushabikia (KUKATA MAUNO) ngoma wasiyoijua....
  13. Ally Kanah

    Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    KIPIGO CHA KITAKATIFU MONDULI..... NI BORA AKATIMIZA TU ILE AHADI YAKE YA KURUDI KILEJI AKACHUNGE MBUZI.......
  14. Ally Kanah

    Video: Rais aliyechaguliwa na Wananchi hahitaji Ulinzi mkali wa kutisha

    Wacha kudanganya watu wewe....unajua ulinzi uliokuwepo hapo kumzunguka Lars Løkke Rasmussen na mwenyeji wake?? au kwakuwa unaona wanaendesha Baiskeli?? Acha kukariri ndugu
  15. Ally Kanah

    Nchi 10 maskini zaidi duniani: Tanzania ya 9, Uganda ya 3

    Wachaga umbea RANKED: The 28 poorest countries in the world — where people live on less than $1,000 per year
Back
Top Bottom