Search results

  1. K

    Msaada kuhusu kozi ya architecture MUST

    Samahinini jamani....binamu yangu kachaguliwa kozi ya architecture Mbeya ila anaonekana hakuipenda sana na aliijaza tu kujazia nafasi....imetokea kumnyima raha kiukweli naomba mnisaidie in detail kuhusu hii kozi ili japo nmtoe wasiwasi huyu binamu....... Asanteni sana
  2. K

    Naomba kuuliza juu ya hawa watoto wanaozaliwa wameungana

    Samahanini ndugu zangu naomba kuuliza juu ya hawa watoto wanaozaliwa wameungana na badae kuishi hivyo hivyo bila kutenganishwa. Vipi kwa mfano likitokea donda upande wa mmoja je namwenzake anapata maumivu,pili je vipi kuhusu mioyo yao ni miwili au kila mmoja anajitegemea? Sorry for disturbing you
Back
Top Bottom