Search results

  1. Achimwene2014

    Je, kuna ukweli juu ya barua hapo chini?

    Salaam wakuu. Kuna barua inasambaa mitandaoni kuhusu walimu wanaotaka kubadilisha kituo cha kazi. Cha ajabu hawa jamaa wanajibu barua yako ndani ya masaa 48 na wanataka uwatumie pesa Tshs 350,000/= kwa ajili ya kukutumia hati ya uhamisho. OMBI: Mamlaka zinazohusika ziwafuatilie hawa jamaa...
Back
Top Bottom