Search results

  1. flowers

    Enyi wanaume acheni tabia kama za huyu kaka zinaumiza

    Labda niongezee Kuna vitu alivyonisimulia sinaviweka hapa amekuwa kwenye mateso makubwa ndo mana haya naona kwake ni madogo.Alikuwa bila wazazi mpaka anafika chuo amepambana na mabazazi tangu utoto
  2. flowers

    Enyi wanaume acheni tabia kama za huyu kaka zinaumiza

    Kila mtu na mtazamo wako Kama umewahi ishi na jirani Pua na mdomo na ukawa unashuhudia haya kila siku lazima uumie
  3. flowers

    Enyi wanaume acheni tabia kama za huyu kaka zinaumiza

    Haaa haaaa Sasa wanaoandika hadithi za kweli Kama za shigongo utasoma kweli
  4. flowers

    Enyi wanaume acheni tabia kama za huyu kaka zinaumiza

    Helo guys. Moja kwa moja kwenye mada Mimi Nina jirani yangu ambaye amenitunuku kushare nami baadhi ya Hali yake ya maisha Story ni ndefu kidogo but ntajitahidi kuikatisha. Huyu kaka anaishi na huyo Dada Kama mke na mume.Na wamezaa mtoto mmoja.Kaka au baba Ana watoto wengine 5 kwa wamama...
  5. flowers

    Swali hili linaloulizwa mara kwa mara na wanawake huwa silipendi

    Kwa hii comment yako naona hata mama yako mzazi unamwingiza hapa dada yako Bibi yako shwainiiii
  6. flowers

    Inaniuma, mpenzi wangu anaolewa

    Eti na mimba yke jamaa nayeoa hajui
  7. flowers

    Mshikaji wangu kampenda Mwanamke wa Club

    Ndo yeye Unadhani aseme ni yeye muamze kumtandikan na fimbo za kejeli.anawajua vyema
  8. flowers

    Mdada, ukipata mpenzi Mgande

    Hili suala la eti ukimganda Kama Hana hisia mnatoa wapi? Anaweza kukuua kivipi? Au Mimi sielewi jamani hivi mpaka watu wanaanza mahusiano na kushika Kasi huwa ni Nini kimetokea mpaka muwaze hayo? Kuua ni Hila za shetwani ingekuwa hivyo hata Ile ya mwanza mume na mke kuuana isingetokea mauaji...
  9. flowers

    Mdada, ukipata mpenzi Mgande

    Nimewaona hata humu wamekuja oooh unaongea Ya wazer wa zamani.Ngoja wawe wanabadirisha waume mpaka wakome
  10. flowers

    Mdada, ukipata mpenzi Mgande

    Kugandana !!
  11. flowers

    Mdada, ukipata mpenzi Mgande

    Haya subirini hao wa kushushwa toka mbinguni.Wanapendana ndo Mana wapo . Haya ya kusema hapendwi. I dhana ya kuendekeza uhuni Sasa Kama A hukumpenda why usiende kwa B toka mwanzo ili huyu A asikugande? Ladies ni kuganda tu
  12. flowers

    Mdada, ukipata mpenzi Mgande

    Uwiiiiiiiiii jamani weweee
  13. flowers

    Mdada, ukipata mpenzi Mgande

    Point hapa huwa siielewagwi kumganda mtu anakuwa hakupendi?? Au tuna maana Ile Hali ya uvumilivi maana nakataa Ile kila mtu unazila unaanza upya kwa mwaka mahusiano Kama ,6 why tho
  14. flowers

    Mdada, ukipata mpenzi Mgande

    Point zetu ni mule mule .Na ijulikanavyo Kama mmekutana I love I love you too mkasomana jamaa ukamsoma na yeye akakuandika moyoni( point ipo hapo) sasa ipo hivi mmependana kukosana kupo hakukupenda ( how can you know if he is not in love some guys are very good in acting Komando John haoni...
  15. flowers

    Mdada, ukipata mpenzi Mgande

    Siwezi kukubadirisha msimamo Ila kwenye maandishi yako nimeso.a kitu Cha zaidi.Umetendwa na Unadhani ni wote.Hapana you need a man I your life.
  16. flowers

    Mdada, ukipata mpenzi Mgande

    Nimeogopaaa
Back
Top Bottom