Search results

  1. Ruwa tutarame

    Wachangiaji wapinzani Bungeni kama movie

    yanga yenyewe si nitimu ya ccm ndio maana hata ridhiwani alitaka aweke viongozi wake* ili baba yake aendeshe nchi yeye aendeshe yanga
  2. Ruwa tutarame

    Utetezi wa Lema kuhusu uongo wa waziri mkuu

    Ni muda mrefu sasa umepita tangu mh. lema kuambiwa* atoe taarifa ushaidi kwamba waziri mkuu wa tanzania amesema uongo lakini *mpaka leo hatouni kinachoendelea./ leo tena mch.msigwa anaambiwa alete ushaidi *wa maandishi je huu sio mpango* wa spika kutaka kuwanyamazisha wabunge wa cdm ili wananchi...
  3. Ruwa tutarame

    Mchungaji Msigwa atakiwa kutoa Uthibitisho wa Madai yake Bungeni leo

    hii ni style mpya inayotumiwa na spika kuwanyamazisha wabunge hata kama akiandika itakuwaje? mbona ya LEMA kuhusu WAZIRI MKUU HATUISIKII?
  4. Ruwa tutarame

    BUNGENI: Muheshimiwa Tundu Lisu Live anachangia mjadala

    huyu jamaa kichwa likipatikana jimbo la wazi tumuingize n adr.slaa
  5. Ruwa tutarame

    Mathayo atoboa siri ya kushindwa Ubunge

    mshenzi tu huyu
  6. Ruwa tutarame

    Ya Ridhiwani na mahakamani yameishia wapi?

    huyu dog kiazi sana
  7. Ruwa tutarame

    Opinion; Upinzani Wekezeni hapa

    aise hapo umegusa
  8. Ruwa tutarame

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    naona ingekuwa vizuri kama wabunge wote wa chadema wangekataa posho cos nimoja ya mapendekezo yao kwenye bajeti watakayo isoma jumatano
  9. Ruwa tutarame

    Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

    litaendelea tarehe 15/06 ndio tunapata budget ya upinzani
  10. Ruwa tutarame

    CHADEMA yadaiwa kumnunua Prof. Lipumba

    cuf imesha nunuliwa na ccm hii ni danganya toto kutuzuga wananchi hatukitaki
  11. Ruwa tutarame

    MBEYA: Kanisa kutoa orodha ya wauza unga

    amesha pewa pesa huyu
  12. Ruwa tutarame

    Elections 2010 Slaa na Mbowe, nani atafaa kwa urais 2015?

    hapa ndipo ccm watakapo patumia kuimaliza cdm watakuwa wamekula ngombe mkia umewashinda
  13. Ruwa tutarame

    Zitto, Mnyika wafichua upotoshaji bajeti ya Mkulo; Spika Makinda akiri, amtaka Mkulo arekebishe

    kwanza kabisa inabidi aachie ngazi kwa kutufanya wajinga ana tudanganya danganya tu hayuko makini kabisa alafu ndio ameaminiwa kupewa wizara nyeti hivyo ina maana ccm hamna watu makini
  14. Ruwa tutarame

    Mambo 7 ambayo CCM ikifanya yaweza kujiokoa; vinginevyo...

    wamelala hawa wanasubiri 2015 watoke, na tutawafunga na kuwafilisi na nyumba zetu za masaki watazirudisha
  15. Ruwa tutarame

    Zitto, Mnyika wafichua upotoshaji bajeti ya Mkulo; Spika Makinda akiri, amtaka Mkulo arekebishe

    hii bajeti niliisikiliza nikajua kuna changa la macho je wewe unasaidiwa na nchi zaidi ya ishirini na wabunge kwa upungufu wao wanapiga makofi kusaidiwa.serikali imekosa ubunifu wa vyazo vipya vya mapato utekelezaji zero. wameshindwa kuondoa rushwa polisi Ina wapa matraffic deal la kupandisha...
  16. Ruwa tutarame

    Symbion Power acquires DOWANS Power plant

    kampuni moja inayojulikana kwa jani la symbion ya nchini marekani imenunu mitambo ya dowans iliyopo ubungo dsm taarifa zinasema viongozi wa kampuni hiyo wamesema ni kweli wamenunua mitambo hiyo lakini wamegoma kusema ni tsh ngapi au usd ngapi walizotoa kununua mitambo hiyo pia wamegoma...
  17. Ruwa tutarame

    Athari ya demokrasia kupitia maandamano yasiyo na ukomo

    Lengo kuu la maandamano haya nikujiongezea wana chama kwani wapo watu wanaofata mkumbo lakini ni lazima katika mikutano yao watoe muda wakuulizwa maswali nawananchi pia wabunge waeleze mpaka sasa wametekeleza nn kwy ahadi zao
  18. Ruwa tutarame

    Pamoja na kutakiwa kujiuzulu; Ngeleja agoma...

    unajua kuna laana. mfano kama babu yako alilaaniwa basi laana hizo zitaenda mpaka kwa vitukuu mpaka aombewe ili ivunjwe.TUMELOGWA NA ALIYETULOGA KAFA
  19. Ruwa tutarame

    Dk. Slaa amlipua Lukuvi; Awarushia pia kombora Chami, Simbachawene

    tutegemee maneno sana inaonekana wameambiwa kwenye semina wasikae kimya lakini dr.nae kachemka kidogo
Back
Top Bottom